Wanajeshi kwa waliohusika na tukio hili wawajibishwe
Wangesimama hapo waite askari wa barabarani kweli tungeona kuna haki inataka kutendeka. Lakini mtuhumiwa kuanza kutumia mamlaka yake inaleta walakini mwingi. Kurekodi tukio hakuna sheria inayokataza.
Wangesumbua traffic bure manake tayari walishahama eneo la tukio scene of crime/loqus in quo......
 
Tiss wana mambo mengi ya kufanya sio kudeal na vitu kama hivi,it seem kwa mtindo huu kuna wengi sana wanaofanyiwa ujinga kama huu coz mtu yeye mtu flan basi anajiona anaweza kufanya lolote,hao jamaa wawajibishwe ikiwezekana wahamishiwe jeshi la zima moto huko ili wawe mfano kwa wengine,tiss unadeal kukamata gari while hujui watu wanapitisha vipi magendo airport na vipi watu wanakwepa kodi!wanaidhalilisha tiss kwa ujinga wao
Duuh! ama!
 
Hili ndio tatizo lako lingine, unahisi Google imeshushwa na Mungu?
Very simple, Kuna soldier, police (man) officer, militias, immigration officer etc, maneno mengi ya Google yameingizwa na vizazi vipya kama nyie, mfano wa haya nimeyaona hata kwenye utunzi wa vitabu vya hasa shule ya msingi vilivyotungwa na kampuni ya yule jamaa wa kanda ya ziwa.

Unateseka na kutojua kiswahili ukiwa wapi?
 
Warudishe wasirudishe. Polisi, TISS na Magereza sio wanajeshi. Nchi nyingine polisi wanaitwa department au service tu.
Bora warudishe JKT na mgambo ndio Watanzania wataelewa maana ya Jeshi, wengi wanadharau mgambo Polisi,TISS, Magereza, wakati ndio kikosi cha Askari wa miguu (infantryman)
 
Kitimoto kimeingiaje tena hapa? Kwa nini wewe unateseka watu wakijisosoma kitimoto na vinywaji vyao pendwa?!
Maswali ya kijinga hayo. Kule ni kujimwambafai kijinga.

Utakuta lile jamaa limeshakunywaa za mchana, maana hata mwili wake unaonesha umevimbishwa kwa nguruwe na K vant.
 
Back
Top Bottom