Wanawake ambao hatujajaliwa kuzaa licha ya kuwa na wanaume tukutane tufarijiane

Mambo mengine huwezi kuelewa mpaka yakukute mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi kusema kwa nini hadi leo hana ndoa/hana mtoto
Binadamu tunapenda kuhukumu bila kujua chanzo ni nini
Huwezi kujua adha ya njaa kama hujawahi kukosa chakula
Tujifunze kuvaa viatu vya wengine tuone kama vitatutosha

Kukosa mtoto ni sensitive issue ambayo inahitaji upendo wa familia na jamii, hatupaswi kuhukumiana sio kazi yetu, nani mkamilifu?? Ebu fikiria mkeo/nduguyo ananangwa hivi ungejiskiaje??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani nianze kwa kusema poleni.
Ni kweli kuna wanawake wasioweza kubeba mimba ila ni wachache mno.
Wanawake wengi mnateseka kwa sababu mmemkosa njia sahihi za tiba hivyo mnajiona wagumba wakati mizunguko yenu ipo vizuri kabisa.
Acheni kujiumiza kwa matatizo msiyokuwa nayo.Wanaume wengi ni tatizo.
Wanawake walio wengi mmekosa watoto kwa sababu za kitamaduni ktk familia mlizotoka na mnazoishi.
Wengine mmekosa watoto kwa sababu ni waaminifu sana ila mnaishi na wanaume wagonjwa wasiotaka kuwapa ushirikiano wa tiba zaidi wamewateka na upendo mkubwa na hamuwezi kushtuka kabisa.

Ni kweli kuna wanawake wamekosa watoto kwa sababu walitumia njia mbaya kutoa mimba wakaharibu vizazi hawa siyo wagumba ni mama wa marehemu.

Wanawake mliokosa watoto acheni kulala jiachieni kutafuta suluhu ya shida zenu ipo hayo maziwa uliumbwa nayo ili unyonyeshee mwanao wa kuzaa kwa hiyo wewe ni mama nenda sumbawanga nenda mbeya nenda njombe tiba yako ipo.
Hiyo bridi ya kila mwezi ni watoto hao mayai yanayoshindwa kurutubishwa sasa unajiitaje mgumba?.Acheni kujipa faraja za kichawi Mungu yupo nanyi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teh teh teh...kupatwa kwa wanawake[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mmewahi kupima ww na mmeo ili kubaini mwenye tatizo?

Kuna kipimo cha asili ambacho ni wewe kumpa utamu wako mpiganaji mwingine ili kubaini kama ataweza kukusababishia kitambi cha miezi 9 na kipimo chengine ni wewe na mmeo kwenda hospital na kuonana na Dr kisha maabala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanamke ambae ana mtoto anaishi mwanza naomba anitafute mi nipo mwanza mabatini
 
Uko sahihi kabisa. ..mingine ni mitihani toka kwa muumba
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mwaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aise mpe pole Mungu ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wanaume wengi waishiyo Dar kuweza kumpa mimba mwanamke ni changamoto. Kisayansi mbegu za kiume ili zifanye kazi yake lazima ziwe zimekamilika, kuanzia kichwa mpaka mkia. Pia mazingira yanayochangia sperm au manii ziweze kutengenezwa zilizo hai ni kusiwe na joto sana sehem za uzazi wa mwanaume. Ukiangalia kwa Dar siku hizi hili joto la nje jumlisha jeans au suruale za kubana wanazovaa wanaume zinachangia kutokupata watoto na lawana zinapelekwa kwa wanawake au mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…