Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

NA WENGI WANASOMESHA WATOTO WAO KWA MSAADA WA WAUME ZA WENGINE.
KWAO KUDANGA NI UJASILIAMALI PIA
 
😂 😂 kumuita mtoto au baba yake mbwa ni tusi kwake yeye.
INAMAANISHA YEYE ALIFANYA UNYUMBA NA MBWA MPAKA AKABEBA MIMBA
SASA SIJUI NI NANAI ALIMUANZA MWENZIE!
 
Hakuna Alie mkamilifu kwenye swala la malezi ya watoto hasa kwa wazazi wasioishi pamoja. Kuna wamama wapo harsh kwa wanaume walio zaa nao na pia Kuna wababa hawatimizi majukumu Yao kabisaaa na Wala hawajali Hilo.

Ni vile tu maisha lazima yaendelee wakati mwingine mmoja anaamua kujishusha maana bila hivo Dunia ingewaka moto.

My take Kila mtu atimize majukumu yake wamama wawe na adabu na waache hasira na wakina baba waache kusababisha hasira kwa wakina mama
 
Mleta mada wewe jinsia gani ? Kutwa kuleta habari za wanawake wakati jina lako ni la mtoto wa kiume

Ndugu wa mleta mada hebu kaeni naye

Muongee naye kuna shida au ana Genes za kike au shoga labda?
Anataka cheap popularity kwa kuandika mada za kijinga kuhusu wanawake.

Kulikua na haja gani ya kuanzisha uzi huu asubuhi yote,wakati kuna ule mwingine unaozungumzia jambo hili na kaandika mapumba yake huko?

Gratification seeing a woman being punished , ndicho kilichomsukuma kuandika huu upuuzi.

Kuna hitilafu somewhere kwenye makuzi ya huyu kijana tumsamehe bure.
 
Hawezi kufanya hivyo na walio wengi huwang'ang'ania watoto kama kitegauchumi! Pesa ya matunzo unayotoa ndio pesa yake ya kukombolea nguo, kuendea saloon, na kununulia vipodozi huku mtoto akipewa ya pipi tu!
 
Kama hayo huwezi,peleka mtoto kwa baba yake akalelewe,kama unaona bora ukae na mtoto basi mambo ni mawili tu,uwe na heshima kwa baba mtoto wako au ulee mtoto wako bila kusumbua baba wa mwanao
 
Kama hayo huwezi,peleka mtoto kwa baba yake akalelewe,kama unaona bora ukae na mtoto basi mambo ni mawili tu,uwe na heshima kwa baba mtoto wako au ulee mtoto wako bila kusumbua baba wa mwanao
We nae hujaona nimesema had it been me mtoto angekufa njaa silambi mtu au unakurupuka kukoment bila kuelewa
 
Hii aya ya mwisho hata mimi nimesema, wether alilelewa maisha duni sana kupita anayoishi sasa, au child abuse, kuonewa, kutengwa kudharaulika etc sasa anafanya compasation kwa njia hii ni kawaida kabisa kwa watu wa hivo
 
Wanazingua aiseeh Yani nibiashara na biashara hii Ina dhaminiwa na ustawi wajamii ambao so waadilifu kwenye kazi Yao watu wanateseka mkuu
 
"Hakuna suala la haki sawa baina ya mtoto aliye karibu na yule aliye mbali"
 
Umesahau na hili, naongezea kwa ukali kama ulivyoandika " MWANAUME PIA HATOSHEKI NA MWANAMKE MMOJA, NA WANAWAKE WAMEUMBWA KUBURUDISHA WANAUME BAADA YA KAZI NGUMU ZA KUJENGA NA KULINDA MATAIFA"
 
Wanapaswa kutambua wanaume ndio wanajenga maghorofa, wanaume ndio wanajenga barabara, wanaume ndio majambazi wa kutumia silaha, wanaume ndio mabaharia deep sea, wanaume ndio wanaendesha mindege, wanaume ndio wanaendesha malori, wanaume ndio wanajenga reli, wanaume ndio wanahamisha bahari kujenga madaraja, wanaume ndio wanalima maelfu ya mahekari watu wakala, wanaume ndio wavuvi nk.
 
Taikon taikon mwanangu sana...!! M nakusikiliza wewe tu


Tutaendelea kufukiza Moshi mpaka mbu wote watoke

Hii ni kwaajili ya kizazi cha wanaume wachache waliosalia.
Tunafahamu lipo kundi la wanaume wenzetu halisi ambao wameamua kujiingiza katika biashara ili wapate hela kupitia agenda za New world order. Hao hatuna shida nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…