Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Mbona wanawake wa huku mnatokwa povu hivyo? Kiujumla mimi nikishaanza kukutongoza ukileta habari za hela na block namba haijalishi ni pisi kali namna gani. Mimi kwangu utakula mistari kama hujaelewa basi, unaniomba hela kwani mimi baba yako ? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malalamiko hayo yamechagiwa pia na wanaume wa siku hizi kupenda kitonga(slope)wengi wanaolia lia hawana pesa yaani pesa ni ya kubangaiza hawataki kutimiza majukumu yao kitu kinachofanya malalamiko yazidi kuongezeka
We mpare em tulia majukumu kwani mimi mzazi wako. Kabla ya mimi nani alikua anabeba haya majukumu? Hivi ni kujilemaza kiakili, kimwili na kifikra.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna pesa ya kutosha
 
Hapo ulipozungumzia 'backup plan' nakubaliana na wewe 100%
 
Huna pesa ya kutosha
Ningekua sina ningeshakufa siku mingi. Ki ukweli mimi nikiombwa pesa ndo sitoi kabisa ila napenda kutoa bila kuombwa. Wanawake wengi wamegeuza kutongozwa ndo mtaji alafu cha ajabu zaidi hamna hata maendeleo anayofanya. K inachakazwa wee mwisho wa siku ndo anakuja kumbuka blanket kumeshakucha. Hapo anatafuta bwana anayepumua tuu [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elfu30 imekuwa wimbo wa taifa wa wanawake wa uchumi wa kati Tanzania nyanja zote
 
Hahahahah aisee kweli uliokota Mfilipino Manzese mzee babaπŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Malalamiko hayo yamechagiwa pia na wanaume wa siku hizi kupenda kitonga(slope)wengi wanaolia lia hawana pesa yaani pesa ni ya kubangaiza hawataki kutimiza majukumu yao kitu kinachofanya malalamiko yazidi kuongezeka
Na wanawake kwa ujumla kuanza ukahaba usio rasmi maana kutaka upewe hela ili utoe penzi ni sawa na kuwa hooker tu!
 
Hahahahah aisee kweli uliokota Mfilipino Manzese mzee baba[emoji851][emoji851][emoji851]
Mzee baba hyo bahat nikaichezea kweli mwana Alie oa anakula good time Sana Sasa wako mbweni TU hapo bimdada Yuko ofs za karibu na magereza makao makuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
We jamaa bana mie ningekamata fursa mazima! Naogopa sana kutapeliwa kimapenzi na waganga njaa ila manz ka huyo alikuwa anajielewa na anajua nini love! She appreciates your concern
 
Rudia kusoma vizuri nilichoandika

Hakuna nilipoandika pesa zinanikera
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nukuu: Hakuna asiyependa pesa.
Nukuu: Aseme neno japo kidogo tu basi.. Ohooo!! Nimekosea nukuu
 
naomba nikutumie pesa please nicheki DM, niko serious
 
We jamaa bana mie ningekamata fursa mazima! Naogopa sana kutapeliwa kimapenzi na waganga njaa ila manz ka huyo alikuwa anajielewa na anajua nini love! She appreciates your concern
Kipindi hiko ujana mwingi saana ila namshukuru Mungu saana sijawah pataga wanawake Lia Lia saana nakutana na wanawake mnaenda dinner anakuuliza una shingapi mnajichanga mnaenda na mzigo wote ana kukabidhi gar haina mafuta anachukua anaweka maisha yanaenda
 
Eeh una kismati mzee baba
 
huu si ubaguzi wa wazi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…