Wanawake wanawahi kuchoka, Mwanaume unatoa wapi ujasiri wa kuoa mwanamke mnayelingana umri?

Are you comfortable with her?? Hilo ndio swali la msingi.
tunaoa wanawake wadogo kwa ajili ya kupata uzao tu, kama ataenda kwa vijana wenye nguvu za kumnyandua sawa tu hakuna jinsi ila mzee nipate joto lake wakati nikiwa hai. Kikubwa heshima ya mume iwepo. Hawa wazee wenzetu nao huchoka na kuishiwa hamu ya kufanya penzi na hawahemki tena wakati mzee bado unataka mhemkaji
 
Wanawake vijana wote wanazaa? Kwanini uzae uzeeni na sio ujanani? Nani atalea watoto wako?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] angalia mke wa Rais wa French
 
Tamaa inaingiaje hapo mkuu binti miaka 18 huyo kashapevuka anaolewa
 
Ukihitaji wizara ..ntakutafuta
 
Ukiwa na miaka 45 na mkeo awe na 30, atakupeleka puta vibaya sana! Yeye wakati huo ndio ujana umekolea wakati wewe umeshaanza kujichokea na umeshatulia.
kuchoka ukiwa 45 ?? Labda uwe umefulia tu..lkn huo umri kama umejipanga vizuri ndio umri wa kuenjoy mautamu na vacation za hapa na pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…