Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Inawezekana ni sahihi lakini sio kwa namna iliyobainishwa bandikoni.Imagine! Yaani sababu kuna wachache wanatumia vibaya basi population yuko inajumuishwa, halafu tunataka tupate wavumbuzi wa teknolojia mbalimbali nchini. Ubaguzi wa kijinsia unatumaliza TZ
Gentleman,
mbona unaeleza ukweli, tena ulio jirani mno na uhakika na hali halisi ya wakati uliopo?
dah! aise π
Raha ya mwanamke simu aiweke mezani aendelee na shughuli za nyumban
Tuishi humoSahihi
Wanawake wa mitaani wanaombana Connection za Aslay, Baltazaar
ππππππimebidi nicheke sasa nisipokua online nisipokua active wateja wangu wataonaje product zangu wooi
Ila wanaume ni sawa?
Mulemule mkuuVipi kwa mashangazi.... Ndo hv hvo mkuu
Amen!Na kila mwenye sikio asikie neno hili ambalo Mungu amemtuma mtumishi wake kuwaambia mataifa
Nafikiri hajaongelea wa biashara bali wanaoji post miili yaoππππππimebidi nicheke sasa nisipokua online nisipokua active wateja wangu wataonaje product zangu wooi
Kuna kaukweli,
Mwanamke akiamka ni kubadilisha tu mara X, jf, tiktok, fb, wasap.....hao watoto anawahudumia mda gani, hata kama msaidizi yupo, yule ni anaitwa "msaidizi" na maana yake inaeleweka.
Bila kusahau TELEGRAMAkiwa TikTok ogopa mno
Upate mwanamke mwenye kiasi kwenye hizi social networks, ajue kubalance, sisi hatukatai wasijue nini kinajiri, wasiingie, wasijifunze...ila wajue kubalance!
Eeeh aitupe tenaππ
Imagine π€£π€£π€£π€£Ni kweli kabisa
Raha ya mwanamke simu aiweke mezani aendelee na shughuli za nyumban aikumbuke baada ya launch awapigie wazazi aitupe hadi kesho
Sio mwanamke anajua simba na yanga hadi anaboa
Raha mtoto wa kike Ni kukosa baadhi ya information za trending
Awa was kwetu hadi wanaomba connect za baltazar
π€£π€£π€£Na kila mwenye sikio asikie neno hili ambalo Mungu amemtuma mtumishi wake kuwaambia mataifa
Tik tok Snapchat insta na twitter huko hakufaiAkiwa TikTok ogopa mno
πππs hz mmeamia kw wanawake waliokuw busy n mtandao hamuelewek mnatk nn