Ajira tutampa kwa ujiraMimi mke wangu nitamruhusu atumie jf pekee, tena nitamguide na nyuzi za kupitia especially za Natafuta Ajira
😂😂😂Nafikiri hajaongelea wa biashara bali wanaoji post miili yao
Jambo la maana sana hilo 👊Lazima ukweli usemwe ili tuwasanue wanetu ni kuishi nao kwa akili hawa viumbe
Upo sahihi kabisa_ Kuna Bi Mdada alikuwa bize sana Na Face Book ,Kwa sasa yupo Bize kwenye Mtandao wa X .... ni Malaya wa Kutupwa na vijana wengi wanaingia mkenge ile mbaya! Anawapanga tu kama Mafungu ya NyanyaRed flags ziko nyingi ila kuna hii: Mwanamke aliye active kupost post kwenye mitandao ya kijamii kama IG, Snapchat, TikTok n.k
Ukweli ni kwamba mabinti au wanawake wengi wanatumia mitandao ya kijamii kutafuta attention za wanaume.
Na ndio maana wengi wao wakifuatwa DM huwa wanajibu wako single hiyo inapelekea wengi kucheat.
Kwa sababu ya ushindani wa show off za kwenye social media mwanamke anapozidiwa na wenzake mara nyingi hujikuta ana stress na kuwa bored.
Mzee mwanamke akiwa bored lazima atatafuta a new dick to ride na ikitokea mwanaume aka-like au aka-reply kumsifia basi moyo wake utasuuzika kapata attention ya mwanaume na safari ya kusalitiwa inaweza kuanzia hapo.
Mwanamke aliye active kwenye social media anatafuta na kuzithamini likes, replies na followers kuliko upendo na muda kwa mwanaume wake.
Yuko tayari apost picha na video za mitego ili mradi tu apate likes na replies hasa za wanaume. Mwanamke kama huyo ni ngumu sana kufocus kwenye mahusiano yenu.
Njia moja ya kumtambua mwanamke aliye a low value ambaye sio wa kufanya naye maisha ni yule ambaye anapenda ku-expose mwili wake kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa kifupi ni kwamba avoid women who are addicted to social media
Your attention will never be enough for them
Learn or Perish
Wengi wanakuwaga na Wanaume kwenye Gest house na mahotelini_ Ukiona Bint anapost sana mavyakula au yupo chooni kwenye mahotel n.k jua ya kuwa yupo Kazini_ Majuzi hapa kuna Bi mdada amepost Video akionyesha anavyokula raha mara Mguu wa Mwanaume Ukatokea kwenye video🤣🤣 mpaka muda huyu Bi mdada yupo kwenye Hali ya kusemwa na kusimangwa huko XSema mimi uwa siwaelewi wale watu wanaopiga picha chumbani mwao wanapolala Au wakiwa wanakula vyakula vizuri wanapiga picha alafu wanapost mitandaoni
Iko hivyo mkuuUpo sahihi kabisa_ Kuna Bi Mdada alikuwa bize sana Na Face Book ,Kwa sasa yupo Bize kwenye Mtandao wa X .... ni Malaya wa Kutupwa na vijana wengi wanaingia mkenge ile mbaya! Anawapanga tu kama Mafungu ya Nyanya
Tanzania na Duniani koteMbona hizi ni tabia za karibia ya kila mwanamke wa Kitanzania?
Nyie ndio vijana aliowasema Magu, vijana wa hovyo🤦♂️🤦♂️🤦♂️ Tupo kwenye ulimwengu wa teknolojia na hiki ndicho pekee umekiona mtandaoni? Mpaka unajua nini kinaendelea kwenye DM's zao tells alot kuhusu tabia yako naa akili yako in general. Asilimia ndogo ya wanawake/wanaume wanaokwaza sehemu yoyote ile haifanyi & haiondoi haki na matumizi mazuri kwa wengine.
Ndio nyinyi mnapiga kelele huko X ifungiwe, Tiktok ifungiwe sababu kuna watu wachache wanakwaza🤦♂️🤦♂️
Kuwa the change unayotaka kuiona na kusonga mbele badala ya kudidimiza hata wale wanaofanya vizuri.
Halafu tunalalamika kila siku wenzetu wanasogea mbele na sisi tunarudi nyuma, kwa hizi mindset? Kazi ipo🤦♂️🤦♂️
Kumbe mitandao sio kwa ajili yao?
Kama ni muuzaji ni muuzaji tu hata asipojiexpose mitandaoni, kwa dunia yasasa na tunakoelekea matumizi ya mitandao hayakwepeki na uhitaji unaongezeka kila leo labda ukaishi na wahadzabe huko porini ila kimjini mjini ni uongo. Kwahiyo kwenye hilo tuishi nao kwa akili tu.
I choose to learnNikiuona ntafanyaje? Heri ya siku ya jumapili.
Learn or perish! 😀
Jidanganyeni hivyo hivyooo....
Inauzwa miili biashara ni ziada tuWengi wanajiuza ila wanafanya siri wanazuga kwenye kufanya biashara kuna mmoja alinambia anataka nimpe kama laki moja hivi ili anipe mzigo pisi kali ina mzigo wa kwenda nikajua kweli wale ma slay queen ni pesa yako tu.