Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Umepata/umenipata msukuma OG kutoka BARIADI-SIMIYUNatafuta msukuma
NakujaUmepata/umenipata msukuma OG kutoka BARIADI-SIMIYU
KARIBU
Ungeeleza na aina ya chakula na uzani wake, ili tuweze kushangaa na wewe ama tukuzodoe.Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
🥺Wanaona sifa kula chakula kingi, wanasema kwao hakuna njaa wanalima sana. Mtoto mdogo anaanza kulishwa chakula kingi ili tumbo lipanuke awe anapakia chakula kingi hatimaye akiwa mkubwa awe na umbo kubwa. Mshangao ni pale wakienda chooni mtu anashusha kimba la kilo mbili! Kwa ulaji huo choo kitaachaje kujaa haraka?
Wenzako ubwabwa unaliwa wakati wa kusubiri sima iive.Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Nzogo Mayo Nagotole Dobeje Kaya Yagolya nabapenaNakuja
NAKAZIAsasa usiombe akuibie mke hapo sahau
ndio maana miili inakuwa mikubwa ila akili kisoda.Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Sasa wamasai wa Arusha Kwa morombo mtu mmoja anakula nyama kilo 2 Mpaka 3 mwenyewe? Utafikiri ni Simba ameua swala!Na ndugu zao wanyaturu wanakula kama mchwa
Ngoma ilikuja kwenye sufuria lenye uwezo wa kuchukua kama kilo tatu kwa kukadiria,kukawa na mtindi,mboga za majani na nyama.Ungeeleza na aina ya chakula na uzani wake, ili tuweze kushangaa na wewe ama tukuzodoe.
Ulaji huendana na aina ya kazi mwili unaofanyaHabari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Bila picha huu Uzi ni batili.Habari za Jumapili wakubwa.
Juzi kati nikamtembelea jamaa yangu fulani hivi ni msukuma anaishi nje kidogo ya mji.
Ebana sijawahi kuona watu wanakula kama hawa watu.
Imeletwa nguna ya watu watatu tu mezani lkn hiyo nguna kwa wanaume wazembe kama wa Dar wangeweza kula mwezi mzima.
Tumepiga nguna weeeee me nikasarenda nikawaacha wenyeji wakaisukuma mpaka ikaisha nikabaki mdomo wazi tu.
Ndugu zangu punguzeni huu ulaji wa ovyo namna hii.
Kwani kula sana kumewasababishia tatizo gani watu wa kanda ya ziwa kama ni hela wanatafta,sio wavivu,kitabu wanapga,serikalin wapo,wana jichanganya wanao uwezo wa kuishi popote mjini na vijijin sio kama wahadzabe.Na je wanao kula kiduchu wana status ipi kutokana na kula kwao kidogo!?Maisha ni zaidi ya kula, wabongo tujaribu kuwa na imaginations pana zaidi ya kuzaa na kushiba tu.
Hao walishazoea kula namna hiyo.Ngoma ilikuja kwenye sufuria lenye uwezo wa kuchukua kama kilo tatu kwa kukadiria,kukawa na mtindi,mboga za majani na nyama.
Afu jamaa wanakula huku wamevua mashati kama wanalima vile.