HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hivi Kuna mtu ombi lake lilifika Utumishi toka JUNE na Bado hajapata kibali..?
 
Ndio kufa kufaana huko sasa. Hata hao wanaofanya halmashauri hawafurahii, hivyo akipata chance ya kwenda pazuri lazima afurahi.
 
Hivi Kuna mtu ombi lake lilifika Utumishi toka JUNE na Bado hajapata kibali..?
Wapo wengi mbona nasikia ukipiga simu wanasema katibu mkuu utumishi aliidhinisha mara ya mwisho January 29.. kwahiyo kwa mujibu wao vibali vya uhamisho bado hawajaidhinisha.
 
Nasubiria jibu
 
Samahani kwahii njia nikwamba unatakiwa uendee makao makuu ya taasisi usika kuulizia nafasi au niofisi yeyote ya taasisi?
 
Ninachojua Ajira Mpya huwa ni miaka mi5 regardless ni kada gani!? Ila baada ya hapo ndio miaka mi3
 
Hivi kuna uwezekano barua ya uhamisho ikatoka utumish kuwa umehamishiwa taasis fulan afu bado taasisi yako wakakuzuia kuondoka...?
Hapo muajiri akipata barua Yako alafu akawareply kua anaupungufu imekula kwako😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…