Swali zuri mkuu. Maana at one point lazima tukubali kuwa kuna kitu sijui nguvu ilikuwepo tu bila kuumbwa halafu ndo tutoke hapo tuamie kwengine.Sawa tuachane na huyo Mungu kwanza, je unaamini au kukubali kwamba, ulimwengu una creator?
True. Halafu Mzungu akija na Unidentified Anomalous Phenomena sisi sisi wazee wa logic tunakuja na reasoning uchwara kujadili kuwa ina weza kuwa ni nini? Au alien?Kitu ambacho nadhani hawa watu wanachanganya ni kutaka kuthibitisha mambo ya kiroho kwa mbinu kisayansi , ukifanya hivi tayari umeingia mkenge. Kama Physics na Math zenyewe pia zina limits na hazitoshi kuelezea kila kitu kwenye huu ulimwengu.
Acha utani bwana!!!!😁😁😁Yamekaa kipumbavu sana, yani mtu hana Uterus ati anasema ni jaribu na anaomba mfungo na sadaka juu afunguliwe😁
Hapana.Sawa tuachane na huyo Mungu kwanza, je unaamini au kukubali kwamba, ulimwengu una creator?
Kama imani bila matendo ni bure, then imani peke yake pia ni bure.Imani bila matendo ni Bure.
Mtu anayeamini kuwa anaweza kwenda ulaya bila Passport akashindwa kuigeuza imani yake kuwa tendo linalowezekana katikati ya wanaoona haiwezekani huyo ameshindwa kuileta imani aliyo nayo ifanye kazi katika ulimwengu wa logic so inabakI kuwa Bure.
Mfano binadamu walioamini kuwa tunaweza kupaa wakaunda ndege wasingezigeuza imani zao zikafanya kazi kwenye logic, wangekuwa na tofauti gani na huyu anayeamini wanaweza kwenda ulaya bila Passport?
Wale wasabato badala ya kwenda airpot na imani bure pekee wangejiuliza ili imani ya kwenda ulaya bila Passport ifanikiwe kwenye ulimwengu wa logic nini kinatakiwa? Huwezi jua kwa kujiuliza hili swali na kupata majibu sahihi labda baada ya miaka kadhaa vizazi vijavyo wangeweza kwenda ulaya bila Passport. Sasa sijajua ingekua ni kwa jina la YESU au ingekuaje.
Wright brothers hawakuwa na imani kama hiyo yenu watu wa dini. Wao walikuwa wanatazama ndege mnyama anavyopaa na tiara zinavyorushwa na watoto wakajenga imaginations au dhana kwamba inawezekana wakatengeneza chombo kama ndege mnyama. Mchakato wao ulikuwa ni wa Sayansi kabisa ukiwa na rejea halisi za kuanzia.Imani bila matendo ni Bure.
Mtu anayeamini kuwa anaweza kwenda ulaya bila Passport akashindwa kuigeuza imani yake kuwa tendo linalowezekana katikati ya wanaoona haiwezekani huyo ameshindwa kuileta imani aliyo nayo ifanye kazi katika ulimwengu wa logic so inabakI kuwa Bure.
Mfano binadamu walioamini kuwa tunaweza kupaa wakaunda ndege wasingezigeuza imani zao zikafanya kazi kwenye logic, wangekuwa na tofauti gani na huyu anayeamini wanaweza kwenda ulaya bila Passport?
Wale wasabato badala ya kwenda airpot na imani bure pekee wangejiuliza ili imani ya kwenda ulaya bila Passport ifanikiwe kwenye ulimwengu wa logic nini kinatakiwa? Huwezi jua kwa kujiuliza hili swali na kupata majibu sahihi labda baada ya miaka kadhaa vizazi vijavyo wangeweza kwenda ulaya bila Passport. Sasa sijajua ingekua ni kwa jina la YESU au ingekuaje.
Well, I argue that the creator is a necessary being one that exists by its own nature and does not require a cause or creator. This necessary being is the foundation that stops the infinite regress problem which is where this is leading. Without such a necessary being, we are left with no ultimate explanation for existence or complexity.If complex systems require a creator then creator requires a more complex creator that imply an infinite chain of creators that get more and more complex.
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Creator Kabla ya kusema ni necessary being.Well, I argue that the creator is a necessary being one that exists by its own nature and does not require a cause or creator. This necessary being is the foundation that stops the infinite regress problem which is where this is leading. Without such a necessary being, we are left with no ultimate explanation for existence or complexity.
Additional ly, while natural processes explain some complexity, they do not explain the origin of the fundamental laws and conditions that allow such processes to occur. The existence of these laws and the fine-tuning of the universe point to an intelligent source beyond naturalistic explanations.
Therefore, the belief in a creator is not just about complexity but about the necessity of an uncaused cause that grounds all existence
Upo sahihi.Kama imani bila matendo ni bure, then imani peke yake pia ni bure.
Haupo sahihi. Ongezea hapo Imani bila matendo ndo utakuwa sahihi.Kwa hiyo imani si chochote na wala haiwezi kufanya lolote.
Mkuu kabla ya kuendelea naomba nikuulize kitu hiki; ukiachana na mambo ya kiimani unafikiri kwamba kila kitu kinawezekana kwa logic tu?Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Creator Kabla ya kusema ni necessary being.
Kusema tu kuna necessary being bila kuthibitisha uwepo wake, ni kufosi bila uthibitisho.
Kwanza thibitisha kama huyo creator yupo.
Wright brothers hawakuwa na imani kama hiyo yenu watu wa dini.
Ndo imani yenyewe. Mchakato wa kisayansi umekuja baada ya kulink imani na logic na facts. Imagination ni imani. Yaani unaangalia kitu kisichokuwepo katika wakati husika halafu unaamini kinawezekana kuwepo.Wao walikuwa wanatazama ndege mnyama anavyopaa na tiara zinavyorushwa na watoto wakajenga imaginations au dhana kwamba inawezekana wakatengeneza chombo kama ndege mnyama. Mchakato wao ulikuwa ni wa Sayansi kabisa ukiwa na rejea halisi za kuanzia.
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Imaginations sio Imani.Ndo imani yenyewe. Mchakato wa kisayansi umekuja baada ya kulink imani na logic na facts. Imagination ni imani. Yaani unaangalia kitu kisichokuwepo katika wakati husika halafu unaamini kinawezekana kuwepo.
Step ya kinachofata either ni kwa muujiza au kwa sayansi ni step baada ya kuamini kuwa lisilokuwepo linaweza kuwepo.
Wote wameanini. Mmoja akageuza imani kuileta kwenye logic mwingine akategemea itokee tu bila matendo. Imani bila matendo ni bure.Imaginations sio Imani.
Walio imagine bunduki wakazitengeneza sio sawa na kina Kinjekitile waliokuwa wanaamini maji yatabadilisha risasi kuwa maji.
Kama imani haiwezi kusimama yenyewe, then imani si kitu na haiwezi kitu.Upo sahihi.
Haupo sahihi. Ongezea hapo Imani bila matendo ndo utakuwa sahihi.
Hakuna muamini dini aliyewahi kugeuza imani yake ya superstitions kuwa facts, sio Kinjekitile sio Mwamposa wala yeyote yule.Wote wameanini. Mmoja akageuza imani kuileta kwenye logic mwingine akategemea itokee tu bila matendo. Imani bila matendo ni bure.
Kinjekitile aliamini risasi zinaweza geuka kuwa maji ila hakugeuza imani yake kuwa facts, angeweza kufikiri namna gani risasi ziwe maji na akafanikiwa hiyo tayari ingekuwa ni technology ambayo sasa hivi unaikataa sababu haipo.
Imani inasimama yenyewe kama imani. Ila unapotaka ilete matokeo ndo matendo sahihi yanahitajika kuilink hiyo imani na matokeo unayoyataka.Kama imani haiwezi kusimama yenyewe, then imani si kitu na haiwezi kitu.
Yes. Kama ambavyo maji, cement na mchanga ni vitu tofauti ila ukitaka litokee tofali unavichanganya kwa ratio sahihi.Kwa sababu matendo na imani ni vitu viwili tofauti.
Matendo hayawezi simama pekeyake yakaleta matokeo. Matokeo ni hitimisho la muunganiko wa matendo na imagination ya unachotaka kitokee. Kuimagine kuwa kitu kinaweza kutokea pasipo kutokea ndo imani hiyo.Matendo yanaweza kusimama yenyewe na yakaleta matokeo.
Sawa. Lakini umeonganisha vitu viwili, imani na dini. Je dini ni matendo sahihi ya kuchanganya na imani ili ilete matokeo ya kinachoaminiwa?Hakuna muamini dini aliyewahi kugeuza imani yake ya superstitions kuwa facts, sio Kinjekitile sio Mwamposa wala yeyote yule.
Hapa ume introduce tena neno imagination naku link na imani.Imani inasimama yenyewe kama imani. Ila unapotaka ilete matokeo ndo matendo sahihi yanahitajika kuilink hiyo imani na matokeo unayoyataka.
Yes. Kama ambavyo maji, cement na mchanga ni vitu tofauti ila ukitaka litokee tofali unavichanganya kwa ratio sahihi.
Matendo hayawezi simama pekeyake yakaleta matokeo. Matokeo ni hitimisho la muunganiko wa matendo na imagination ya unachotaka kitokee. Kuimagine kuwa kitu kinaweza kutokea pasipo kutokea ndo imani hiyo.