Mbona naonaga hadi mapacha... au ni maigizo tu.Hao watu wa Kawe wanapata matumaini hewa tu!
Hakuna chochote!
Maelfu ya wanawake wanajazana hapo kwa Mwamposa miaka nenda rudi na hakuna wanachopata zaidi ya miujiza uchwara na matumaini hewa.
Ndio maana miaka nenda rudi, wapogo tu na huyo mtume wao. Shida zao haziwaishi kamwe.
Kwa sababu shida hazitatuliwi kwa sala au maombi. Na hakuna Mungu wa kusaidia chochote kwa sababu Mungu huyo hayupo.
Unaweza ngono❌️Umeshiba unaweza ngono tuu.
Yale ni maigizo ya kudanganya watu na kupumbaza watu tu.Mbona naonaga hadi mapacha... au ni maigizo tu.
Halafu sasa hivi sio lazima mfanye ngono, sinasikia kuna mimba za kupandikiza.Yale ni maigizo ya kudanganya watu na kupumbaza watu tu.
Unasema pesa haina maana yoyote duniani kwamba watu wazae tu, Unasahau kwamba watu wanahitaji huduma ambazo zinahitaji pesa!Pesa haina maana yoyote duniani .kitu cha thamani ni watu.tusiogope kuzaa
Halafu wewe sini mlokole kabisa?Naunga mkono hoja kwa mbwembwe sana.
ChaiWatoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote.
Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke wa mchungaji anatafuta mtoto kwa muda mrefu. Na mimba haishiki.
I'm out.
Unajua gharama ya kupandikiza mimba?Halafu sasa hivi sio lazima mfanye ngono, sinasikia kuna mimba za kupandikiza.
Kampelekee Bibi yako kule kijijini kwenu Kazuramimba anywe.Chai
Wewe asili yako ni ipi?Mkuu mbali na kusema hakuna Mungu ilitakiwa uende viral zaidi uelezee asili ya binadamu wa kwanza ni ipi,
HahahahaaaaUnajua gharama ya kupandikiza mimba?
Au unasikia kupandikiza mimba! Kupandikiza mimba!
Kwamba ni boga au parachichi linapandikizwa!
Kama Mungu ni kila kitu na wewe ni sehemu ya kila kitu, Je na wewe ni Mungu?Mungu ni kila kitu. Vinavyoonekana na visivyoonekana!
Yeah, Mimi ni mlokole wa kutupwa.Halafu wewe sini mlokole kabisa?
Kama ngono ni burudani, kwa nini unavaa kondomu kuepusha mimba?Hoja yako ni legit kwa wanyama. Binadamu tunatumia ngono kama burudani pia
Hahahahaaaa au uko kwenye maombi ya kunena kwa lugha? maana ulicho comment haviendani mtumish!Yeah, Mimi ni mlokole wa kutupwa.