Hapana mkuu kule raia wengi wanakubaliana na kinachoendelea tunaopiga kelele ni watu wachache wa huku bara, tukisema kule kuna taratibu zao mnapiga makelele acha dawa iingie tu
Wanakubaliana katika nini ? Na hao 12 waliokamatwa ?
 
Jifunze kuvumilia, kila kiumbe kwenye huu ulimwengu kina mwanzo wa upeo na mwisho wa upeo wake, tatizo linaanzia pale viumbe wengine mwanzo na mwisho wa upeo wao unakuwa ni mfupi zaidi.
Sio kila jambo la kuvumilia
 
siku wapemba wakirudishwa huko kwenye visiwa jaruba watajaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…