Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Nyie waja hii "huka huka" ndo nn? Maana kwa lugha ya kwetu, imebidi nicheke na ilivyorudiwa mara 2 ndo nimechoka kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo kweli ana kipato kikubwa, Matumizi ya milioni 40/Mwezi ni almost anatumia shilingi milioni 1.3 Kwa Siku

Shilingi milioni 1.3/Siku ni kipato kikubwa kuliko cha Mbunge πŸ™Œ

Kweli usiseme hatuna hela, sema Mimi Sina hela πŸ™Œ
 
Udugu unifundishe hayo majina, yaan nimewaza ni mzagamuo juu ya maji ya blue. Kumbe ni pombee, woiiiiu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 uwe unajispoil udugu mara moja moja kuna majina unaweza kujua leo huko balaa kumbe cocktail 🀣🀣

SLIPPERY NIPPLE
DIRTY BANANA
SCREAMING ORGASM
BLUE LAGOON
ALABAMA SLAMMEI
MIAMI VICE
WOO WOO
SEX On a SNOWBANK
hayo hapo anza kujifunza..!! 😹🀣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah Jiji lina wenyewe, na wenyewe wapoo. Sie wengine tuelekee VETA hakuna namna. Lol
Ila siamini wewe ulivyo mjanja hata mojito usiijue 😹😹
 
Usidanganyike. Huo ni uongo. Watu wanatafuta trend tu. Ngoja TRA waende hapo na waanze kujiliza.
ni uongo hiyo bili ni fake sio ya kweli.
Itakuwa kama ulivyosema wanataka kutrend tu mitandaoni
Kuna huduma zimewekwa kwenye hiyo risit siyo rasmi na haziruhusiwi hakuna leseni ya kufanya hizo huduma
 
Huyo kweli ana kipato kikubwa, Matumizi ya milioni 40/Mwezi ni almost anatumia shilingi milioni 1.3 Kwa Siku

Shilingi milioni 1.3/Siku ni kipato kikubwa kuliko cha Mbunge πŸ™Œ

Kweli usiseme hatuna hela, sema Mimi Sina hela πŸ™Œ
Yes bro ni mtu mzito kwenye kampuni mmoja kubwa ya mafuta ( jina kapuni)
 
Huyo kweli ana kipato kikubwa, Matumizi ya milioni 40/Mwezi ni almost anatumia shilingi milioni 1.3 Kwa Siku

Shilingi milioni 1.3/Siku ni kipato kikubwa kuliko cha Mbunge πŸ™Œ

Kweli usiseme hatuna hela, sema Mimi Sina hela πŸ™Œ
Acha ulimbukeni bwana mdogo, haiwezekani kila siku mtu awe anatumia zaidi ya million moja kwa kufanya starehe hata wajukuu wa bakharesa hawafanyi huo ujinga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Udugu haupo serious, majina mbona yanaogopeshaa. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…