Wavuvi Camp: Billi ya mezani Tsh 11 Millioni kwa usiku mmoja wa tarehe 15/03/2025

Vipapatio vya kuku 5 shilingi 22,000/= na maji ya Kilimanjaro nusu lita sh. 10,000/= tu. Bei hizo ni pamoja na kodi ya burudani ambayo mitaani haipo.
 
"Kaa ripito" atakuwa anafanya "beshara" nyingine tofuati na inayoonekana..."Kazi ya Kupuliza" ni 84,000? Usikute ni Nikinemu tu ,ni kama wale wafanyabiashara wanapita na kapu wakisema wanauza mafuta mazuri ,rangi za ukili na "BANGI HILI"
 
Usidanganywe na vitu vya mtandaoni mkuu. Hizi ni blah blah tu.
Thing is real mzee, mitandao hp isisingiziwe!!
Yani ikifika ile time ya kukaribia ile time ya helo jua, saa nane hv usiku mnatolewa wote wanafanya usafi na mnawekewa kiingilio 50k na mnalipa vzr bila chenga sijui kuna nn pale, humo ndani kuna makahaba wenye vipato!
 
Hizo kitu zinasoma bei kubwa hapo usishangae, Pombe kali kadri inavyokaa muda Ndio bei yake inaongezeka,value

Nataman kujua hiyo Don julio Botlle aging.

Maji ya Kilimanjaro elfu 10 nusu lita
Hiyo Don Julio nje kwa wenzetu bei yake ni chini tu kibongobongo ndy hivyo tena
Anyway starehe gharama huyo mwenye mkeka aache kulialia

Ova
 
Hakuna kitu pale ila washatengeneza mazingira ya kuwavuta nyieee
Na wabongo si wanapenda kushoboka kufatanafatana kisa fulani yupo pale

Ova
 
ukishaona hiyo risiti ujue tra kodi inapata
 
Kwa nchi kama Tanzania yafaa sote tujiulize haya mapesa yanatoka wapi?? Kwann miradi mingi imesimama au inasuasua sana lakini tunaona ukwasi mkubwa kwa watu ambayo sio mbaya watu kuwa na ukwasi ila kwamba hela hizi zinaibwa serikalini ni jambo la kuudhi sanaaa....
 
Hahaha..matumizi hayo yanawahusu Madalali, Wachimba madini, Matapeli wa tuma kwenye hii namba, wavuvi, wauza unga.
Wengine pesa za kukadiliwa na TRA hizi lazima akili ikae vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…