Futa Uchaguzi. Weka Tume huru. Rudi kwenye meza ya maridhiano. Tuanze upya!
Kumlaumu Jafo ni kumwonea yeye yupo kama TV tu.!
Upinzani: 19%+4%+1.005= 24.005%19%+4%=23%
Iweje CCM awe na 79%
Nauliza tu miye nilisoma HGL
Maendeleo hayana vyama!
Kweli kabisa haiwezekani watu wanakuja kuchukua fomu za uteuzi wakiwa na sifa zote halafu Chadema wanafunga ofisi ya serikali. Huo ni uvunjifu wa amani.Chadema mnatumika kuvuruga amani yetu.
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo na amefuta maamuzi yote yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi Nchini kote ya kuwaengua wagombea wa vyama mbalimbali. Waziri Jafo ametoa uamuzi huu jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na wanahabari leo.
Chanzo: Ukurasa wa OR-Tamisemi Facebook
Ili wahalalishe upumbavu wenu?Chadema toeni tamko Sasa kuwa mtashiriki
Tuliza mshono hapo chini dawa ikuingie.Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Acha kujitoa ufahamu..Wekeni sera zenu mezani , waambieni watu mliyoyafanya miaka mitano, sio mnashinda kila siku kupiga soga na kula hela za ruzuku
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
wakishiriki hata wakishinda hawatotangazwaTusubiri tuone huenda busara na mawazo ya wengi yamefanyiwa kazi.
Kwanza nitoe pongezi kwa uamuzi huu uliofanyika. Waziri anawakilisha Serikali,lalamiko la kutokuteuliwa vyama vingine tofauti na CCM limekwisha.Jafo na ccm yako jifunzeni kuvhuchumaaa.. mtaabika sana.. chadema sio watoto wadogo, Hii nchi ni ya wananchi na wananchi wanajua haki zao.. popelesssssaa power!!!!!! .View attachment 1259535