Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Naona Jafo sasa na wapambe wake hawaileweki is too late. Mawazo ni kama vile yanategemea amelala kwa mke yupi siku hiyo. Hakuna sheria badala ya personality tu hapa. Sijawahi kuona mfumo waziri ndiye atakuwa anatoa maamuzi kwenye chaguzi! Na ni wa chama kimoja😂. Yaani kama huoni kuna tatizo la kisiasa Tanzania wewe ndiyo tatizo.
 
Chadema mnatumika kuvuruga amani yetu.
Kweli kabisa haiwezekani watu wanakuja kuchukua fomu za uteuzi wakiwa na sifa zote halafu Chadema wanafunga ofisi ya serikali. Huo ni uvunjifu wa amani.

Haiwezekani watu wanataka kurudisha fomu then Chadema wanafunga ofisi tena ili fomu zisipokelewe. Huo ni uvunjifu wa amani ya Tanzania.

Aisee! omba Mungu ukose vitu vingine lakini usikose akili. We jamaa kweli una stroke kichwani.
 
Tuna uongozi coward ajabu. Epitome of cowardice... Ref Asbert Ngurumo's book
 
Hawa raia natamani niwasikie kauli zao tena maana naona walitoka kumfurabisha mtu fulani kuwa wako nae katika zile kauli nikuteuwe na umtangaze mpinzani mshindi.

Sasa kauli ya jafo najua kashikizwa hata sura yake inaonyesha ivyo na walishatangaza wana ccm washapita bila kupingwa inamaana washindi wametenguliwa au wameambiwa watulie waje kuhalilishwa.

Polepole yuko wapi na anakauli gani na wanasheria wake 2,000
 
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo na amefuta maamuzi yote yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi Nchini kote ya kuwaengua wagombea wa vyama mbalimbali. Waziri Jafo ametoa uamuzi huu jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na wanahabari leo.

Chanzo: Ukurasa wa OR-Tamisemi Facebook



Upinzani una power ***** zenuu

Nyuchi mbovu nyie
 
Jiwe limebanwa mbavu,
Kwanza ajitokeze yule aliepiga marufuku mikutano ya siasa airuhusu,Uchaguzi huu ufutwe kabisa,halafu tupate tume mpyaa kabisa

Ndio tuangalie uwezekano wa kuendelea,hakuna kurudi kirahisi hivyo,ukishaharibu umeharibu tu..
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Tuliza mshono hapo chini dawa ikuingie.
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika

Upinzani ni kitu chenye power kubwa sana!

Mmeona power yake!

Mkaona ni lazima muachie nyuchi hizo!

Mnanuka!

Wapumbavu nyie,mngeendelea muone!
 
CCM na serikali yake ya awamu ya Tano kupitia wizara ya TAMISEMI iliyopo Ofisi ya Rais inatapatapa kupata uhalali kupitia uchaguzi haramu.

Na bado watawala wa CCM watazidi kijichanganya kwa kauli ambazo kwa hali iliyofikia hakuna mwannchi mwenye akili timamu atakayewasikiliza.
 
Kama Jafo amefuta maamuzi yote ya kihayawani yaliyofanywa na hawa hayawani wanaoitwa watendaji, je ni nani atasimamia huo uchaguzi?

Majitu yale yale yaliyoharibu, hata yakawafuta wagombea halali wa vyama vya upinzani, ndiyo hayo hayo yatasimamia uchaguzi?

Kama ni yale yale yaliyoharibu, KAMWE VYAMA VYA UPINZANI VISIKUBALI KUSHIRIKI HUU UCHAGUZI.

Jambazi likikuvamia mbele za watu kisha likakuachia kwa sababu ya kelele za watu, haimaanishi limebadilika na kutokuwa jambazi. Usiliamini, ujue linakusubiria utakapokatiza kwenye kichaka kisicho na watu ukiwa pekee yako. Haya mahayawani yaliyoharibu process ya uchaguzi, hata kama maamuzi yao yamepinduliwa na aliyewatuma, wapinzani wajue wanasubiriwa wakati wa upigaji kura, wakati wa kuhesabu, na funga kazi itakuwa wakati wa kuwatangaza washindi.
 
Jafo na ccm yako jifunzeni kuvhuchumaaa.. mtaabika sana.. chadema sio watoto wadogo, Hii nchi ni ya wananchi na wananchi wanajua haki zao.. popelesssssaa power!!!!!! .View attachment 1259535
Kwanza nitoe pongezi kwa uamuzi huu uliofanyika. Waziri anawakilisha Serikali,lalamiko la kutokuteuliwa vyama vingine tofauti na CCM limekwisha.
Nadhani ni busara Tume ya uchaguzi,Waziri na Wenyevit,Makatibu au Wawakilishi wa vyama vyote vya siasa wakutane kikao cha kuridhia kushiriki uchaguzi.
Haitakuwa busara kwa vyama vilivyojitoa kuendelea na ajenda ya kutoshiriki ingali tatizo la awali limeshughulikiwa,itakuwa so uungwana ata kidogo kama kuna anayefurhia kutokushiriki uchaguzi.Naamini Serikali itakuwa imeshawaandikia barua wakuu wa vyama vya siasa kuhusu uamuzi.
Busara ikitumika basi wengine nao wapaswa kuifuata ili kuleta muafaka.
Mungu Ibariki Tanzania.
 
Back
Top Bottom