Kama Jafo amefuta maamuzi yote ya kihayawani yaliyofanywa na hawa hayawani wanaoitwa watendaji, je ni nani atasimamia huo uchaguzi?
Majitu yale yale yaliyoharibu, hata yakawafuta wagombea halali wa vyama vya upinzani, ndiyo hayo hayo yatasimamia uchaguzi?
Kama ni yale yale yaliyoharibu, KAMWE VYAMA VYA UPINZANI VISIKUBALI KUSHIRIKI HUU UCHAGUZI.
Jambazi likikuvamia mbele za watu kisha likakuachia kwa sababu ya kelele za watu, haimaanishi limebadilika na kutokuwa jambazi. Usiliamini, ujue linakusubiria utakapokatiza kwenye kichaka kisicho na watu ukiwa pekee yako. Haya mahayawani yaliyoharibu process ya uchaguzi, hata kama maamuzi yao yamepinduliwa na aliyewatuma, wapinzani wajue wanasubiriwa wakati wa upigaji kura, wakati wa kuhesabu, na funga kazi itakuwa wakati wa kuwatangaza washindi.