Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi


Ameona nguvu kubwa ya upinzani!

Aliambiwa nchi sio yake pekee yake...ngoma ameisoma!

Im sure hakuna kima yeyote wa upinzani atakua kwenye hilo sanduku
 
Hakuna kitu hapo, huo ni mtego...

Ni sawa na wanafunzi ambao wamegomea kufanya mtihani wa mwisho na number za kufanyia mitihani hawana, uwaambie wanaruhusiwa kufanya mitihani...

Hii inaitwa 'Maji ya shingo'


Cc: mahondaw
 
Pathetic
 
NILISHA SEMA HUU NI MPANGO WA MUNGU NA MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU, Wenyewe CCM wanakubali KUWA mAGUFULI KUWA RAIS NI MPANGO WA MUNGU, KATIBA MPYA IS COMING around the corner. Kwanza tujifunze namna na UZITO WA KUTUNGA KATIBA MPYA. Magufuri chapa kazi baba.
 
Huu uchaguzi na figisu zake utakuwa na Matokeo hasi sana kwa uchaguzi ujao. Kumbuka katika uamuzi ya kuwarudisha Makatibu tawala kuwa wasimamizi wa uchaguzi Majaji walisema kwamba tume ina waapisha hawa watendaji kabla ya utekeleza majukumu yao ya usimamizi wa uchaguzi, hivyo hivyo nafikiri kwa watendaji hawa wa kata.
Katika hukumu hiyo kama majaji hao hao wakarudia ama kupitia uamuzi wao huo na kuona hali halisi kinachoendelea mtaani kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa basi nafsi zao zitakuwa na la kujifunza
 
Mnamuonea Jaffo bure.

Yeye anapokea maagizo toka nyumba nyeupe.

Kauli zake zinapishana kila asubuhi.
 
Ficha ushamba wako huu.
 
LGBT
 
wakishiriki hata wakishinda hawatotangazwa
Kweli. Hapo ni danganya toto kwa pipi.

1. UPINZANI USIJARIBU KUENDELEA NA ZOEZI HILI.

2. ZOEZI LA UCHAGUZI LIBATILISHWE.

3. WATENDAJI WOTE WAFUKUZWE KAZI.

4. JAFO AJIUZULU MARA MOJA NA KAMA AMEHUSIKA KWENYE JINAI ASHTAKIWE.

5. UFANYIKE UANDIKISHAJI UPYA WA MAJINA.

6. USIMAMIZI WA UCHAGUZI KATIKA HATUA ZOTE UWE SHIRIKISHI. (Vyama vyote viweze kuhusika katika kuhakiki wanaojiandikisha).
 
Akitokea UVCCM mmoja tu akikujibu nitag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…