Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa Na bado wanajua kabisa nchi nzima Magufuli hatumpendi ispokuwa wachumia tumbo wachache, aache tu aambulie aibu.
Vitendo vya magufuli vitaendelea kumtia aibu hadi atakapoamua kuachana na magumashi yake. Upinzani tanzania unaunga mkono na zaidi ya watu wazima 20M kati ya 30M ukichana na watoto 15M
Watendaji wote wafukuzwe kazi mara moja, na washtakiwe kwa kosa la kufanya vitendo vya kuhatarisha usalama wa nchi.Labda wawafukuze kazi wale wote walioengua majina kinyume cha sheria. Kisha Jafo ajiuzulu
PatheticSiasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
NILISHA SEMA HUU NI MPANGO WA MUNGU NA MAGUFULI NI MPANGO WA MUNGU, Wenyewe CCM wanakubali KUWA mAGUFULI KUWA RAIS NI MPANGO WA MUNGU, KATIBA MPYA IS COMING around the corner. Kwanza tujifunze namna na UZITO WA KUTUNGA KATIBA MPYA. Magufuri chapa kazi baba.Naona Jafo sasa na wapambe wake hawaileweki is too late. Mawazo ni kama vile yanategemea amelala kwa mke yupi siku hiyo. Hakuna sheria badala ya personality tu hapa. Sijawahi kuona mfumo waziri ndiye atakuwa anatoa maamuzi kwenye chaguzi! Na ni wa chama kimoja😂. Yaani kama huoni kuna tatizo la kisiasa Tanzania wewe ndiyo tatizo.
Pole mwenzio Jafo amejua tatizo ni nini sasa wewe mbona unajitia aibu hapa jukwaani?Wapinzani waliona watashindwa vibaya ikabidi wakimbie
Ila janja yao imestukiwa,hakuna kujitoa
Ficha ushamba wako huu.Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
LGBTNamuona jafo hapa UTV wagombea wa chadema walikuwa 19% ya wabombea wote
CUF likuwa na wagombea 4% ya wagombea wote
VYAMA vilivyobakia walikuwa 1.005 ikiwemo na ACT
CCM ilikuwa na wahombea 79& ya wagombea wote
Form zilizokataliwa zilikuwa asilia 28.66% ya form zote
State agent
Mkuu bado wewe ni unatumie kile mime inayosababisha upumbavu ?Hakuna kukimbiana hapa
Kweli. Hapo ni danganya toto kwa pipi.wakishiriki hata wakishinda hawatotangazwa
Sahihi kabisa.Kumlaumu Jafo ni kumwonea yeye yupo kama TV tu.!
Akitokea UVCCM mmoja tu akikujibu nitagHawa raia natamani niwasikie kauli zao tena maana naona walitoka kumfurabisha mtu fulani kuwa wako nae katika zile kauli nikuteuwe na umtangaze mpinzani mshindi.
Sasa kauli ya jafo najua kashikizwa hata sura yake inaonyesha ivyo na walishatangaza wana ccm washapita bila kupingwa inamaana washindi wametenguliwa au wameambiwa watulie waje kuhalilishwa.
Polepole yuko wapi na anakauli gani na wanasheria wake 2,000