Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Vipi kuhusu wale waliokwenda kurudisha fomu wakakuta ofisi zimefungwa siku nzima? Huu uchaguzi ufutwe tu au wababe wajitangaze tu wameshinda kuliko kutuhadaa
 
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.

" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"

Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Daudi Mchambuzi
 
Vipi kuhusu wale waliokwenda kurudisha fomu wakakuta ofisi zimefungwa siku nzima? Huu uchaguzi ufutwe tu au wababe wajitangaze tu wameshinda kuliko kutuhadaa
Yani kila swali kila hoja Ni point CCM mmeshikwa makend...
 
Tuweke mpura kwapani wakati mpira ulikuwa wa kwenu
 
Utter nonsense
 
Jafo hakika anaonewa 100%, ambaye haitakii Mema Nchi hii ni Jiwe mwenyewe. Ila atavuna anachokipanda kwa Muda na wakati Ukitimia.
 
"Mkurugenzi Nikupe Gari, nikulipe mshahara halafu Unamtangaza mpinzani kashinda................"kauli hii itafanya kazi baada ya mbinu ya kupita bila kupingwa kugonga mwamba.
 
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.

" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"

Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.

Maendeleo hayana vyama!

cc: Daudi Mchambuzi

You motherfuckers are so insane!

Yaani mfunge ofisi watu wasirejeshe fomu

Waliorejesha muwafute

Halafu mnataka tuje tubariki huo “uchafuzi” wenu?

Halafu mnaongea kijuu juu tu eti “Chadema msiweke mpira kwapani”!

Lugha za kimalaya sana hizi!

Halafu mnataka tuwachukulie serious kwkaweli?

Mnadhani kuna mitoto hapa?

Wajinga kabisa nyie!

Haji mtu!

Na mkitufata ni mezani,masharti kama 100 hivi na yatekelezwe yote,otherwise endeleeni na kujipitisha!

Mamaaaeeee zenu nyote!
 
Wakuu nimekuwa nikifatilia matamko mbalimbali kuanzia kwa Wakuu wa mikoa Mawaziri na watawala wa Ccm wote maelezo yao niyaubabe lakini majibu ya Kangi Lugola Bungeni yalinitoa machozi. "Chama cha upinzani kilichojitoa kwenye kinyang'anyiro ndio kinachochea vitendo vya vurugu zinazoendelea nchini, tutawashughlikia".

Leo Jafo kaitimisha kwa kuwarejesha watia nia wa upinzani wote walioenguliwa na vichaa (watendaji) kwa maelekezo ya boss wao.

Nchi mkaipeleka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ikichanganya msikimbie msubiri mpaka mwisho.
 
Mwenyewe...!
 
Kieleweke Indeed. Figisu za kujipikilisha tuwaachie wenye Chadema & Co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…