ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,340
- 4,086
Vipi kuhusu wale waliokwenda kurudisha fomu wakakuta ofisi zimefungwa siku nzima? Huu uchaguzi ufutwe tu au wababe wajitangaze tu wameshinda kuliko kutuhadaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Refa ashaonesha upendeleo. HaturudiNimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
Yani kila swali kila hoja Ni point CCM mmeshikwa makend...Vipi kuhusu wale waliokwenda kurudisha fomu wakakuta ofisi zimefungwa siku nzima? Huu uchaguzi ufutwe tu au wababe wajitangaze tu wameshinda kuliko kutuhadaa
Hakuna Kukimbiana bwasheeRefa ashaonesha upendeleo. Haturudi
Utter nonsenseSiasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Mambo ya Maulidi hayo!View attachment 1259801
Hilo tangazo wamechapisha wapinzani nini? Eti hapo ni Novemba 24, mwaka gani? Kama nimeona 2910. Naona dhambi inawatafuna sasa.
Nimeipenda hii kauli ya Msimamizi mkuu wa uchaguzi wa serikali za mitaa Waziri Jaffo.
" Hakuna Kukimbiana Lazima Kieleweke"
Chadema msiweke mpira kwapani rudini uwanjani refa anawaita.
Maendeleo hayana vyama!
cc: Daudi Mchambuzi
Mwenyewe...!You motherfuckers are so insane!
Yaani mfunge ofisi watu wasirejeshe fomu
Waliorejesha muwafute
Halafu mnataka tuje tubariki huo “uchafuzi” wenu?
Halafu mnaongea kijuu juu tu eti “Chadema msiweke mpira kwapani”!
Lugha za kimalaya sana hizi!
Halafu mnataka tuwachukulie serious kwkaweli?
Mnadhani kuna mitoto hapa?
Wajinga kabisa nyie!
Haji mtu!
Na mkitufata ni mezani,masharti kama 100 hivi na yatekelezwe yote,otherwise endeleeni na kujipitisha!
Mamaaaeeee zenu nyote!
Noo, nani atasimamia uchaguzi???Tusubiri tuone huenda busara na mawazo ya wengi yamefanyiwa kazi.