Ni kawaida yao hao wanatengeneza matatizo halafu wakiona kelele za watu zimezidi wanajifanya kuyatatua kisanii ili waonekane mashujaa watenda haki..Ilikua ni aibu kwa ma CCM.
Basi wasivyo na akili wataanza kumsifu Jafo wakati alishindwa kukemea michezo michafu ya watendaji tokea awali.
Eti walienguliwa na vichaa kwa maelezo ya boss wao. Inamaana boss wa vichaa bila shaka na yeye atakuwa sawa nao au kawazidi kidogo?Wakuu nimekuwa nikifatilia matamko mbalimbali kuanzia kwa Wakuu wa mikoa Mawaziri na watawala wa Ccm wote maelezo yao niyaubabe lakini majibu ya Kangi Lugola Bungeni yalinitoa machozi. "Chama cha upinzani kilichojitoa kwenye kinyang'anyiro ndio kinachochea vitendo vya vurugu zinazoendelea nchini, tutawashughlikia".
Leo Jafo kaitimisha kwa kuwarejesha watia nia wa upinzani wote walioenguliwa na vichaa (watendaji) kwa maelekezo ya boss wao.
Nchi mkaipeleka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ikichanganya msikimbie msubiri mpaka mwisho. View attachment 1259806
watu waliopewa dhamana wanapwaya. wamelewa na pesa za kodi zetuSiwezi Piga kura tena kwa upuuzi huu
Tatizo si Jaffo bali MagufuliNasikia jafo hajalala leo siku ya 4.. maana wananchi hatutapiga kura.
Mwenyewe...!
Anaongea kwa kubabaika sana,hakutulia kabisa kitini...utadhani sio Yule chiriku tuliyemzoea..hahahahh
Maskini ya rabi wanahangaika kama vifaranga vilivyonyonyolewa manyoya ya mkiani. Jiwe anaharisha tu baada kuona janja ya nyani imeshitukiwa. Hakuna namna Mbowe, zitto, Lipumba, mbatia hakuna kurudi nyuma tena watajamba wakati huu. Ushenzi mtupu halafu wakirudi wakasimamiwe na wale waliowaengue Go to hell idiots Kuweni wenyewe mukwibe vizuri sasa hivi agiza train ya maji stupidWaziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo na amefuta maamuzi yote yaliyofanywa na wasimamizi wa uchaguzi Nchini kote ya kuwaengua wagombea wa vyama mbalimbali. Waziri Jafo ametoa uamuzi huu jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na wanahabari leo.
Chanzo: Ukurasa wa OR-Tamisemi Facebook
Hata hivyo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa nchini Tanzania (Tamisemi), Selemani Jafo ametangaza wenyeviti wa vijiji 6,248, wa mitaa 1169 na vitongoji 37,505 wanaotokana na CCM wamepita bila kupingwa baada ya kutojitokeza kwa wagombea kutoka vyama vya upinzani.
“Kwa upande wa vitongoji Chama cha Mapinduzi kimepita bila kupingwa katika vitongoji 37,505 kati ya vitongoji 64,384 sawa na asilimia 58,”
Amesema katika wajumbe wa kundi la wanawake jumla ya wajumbe 64,085 wamepita bila kupingwa na wajumbe kundi la mchanganyiko jumla ya wajumbe 75,560 wamepita bila kupingwa.
Walio jitoa wakishiriki ntawaona wapumbavu x100, otherwise walo vuruga wachukuliwe hatua. Na wakumbuke pia kivuruge mkuu JPM bado yupo zamu!Chadema toeni tamko Sasa kuwa mtashiriki
Hili unalisema leo,muda woote ulikuwa wapi hivi ni kwann mtu ukiwa mfuasi wa chama cha kijani unakuwa na shida ya kufikiri?Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Aisee, hakuna dharau kubwa kuliko hii!Kumlaumu Jafo ni kumwonea yeye yupo kama TV tu.!