Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Sasa wewe state agent unasema watu wa chadema bado wanarejesha fomu. Na wakati muda wa kurejesha fomu umeshapita na unatudanganya kwamba mnaendelea kuwapokea.
 
View attachment 1259801
Hilo tangazo wamechapisha wapinzani nini? Eti hapo ni Novemba 24, mwaka gani? Kama nimeona 2910. Naona dhambi inawatafuna sasa.
Ukiwa na mchecheto ndio akili inakuwa hivyo. Huo uchaguzi wa 2910 tutauangalia Jiwe akiwa malaika mpendwa upande ule wa pili kama atapita usaili. Kuna mtu kachanganyikiwa hapa.
 
Yaani katika wapuuz ambao siwapendi hapa jf ni wewe na anajiita state agent ni wapumbavu sana nyinyi
 
Jiwe ndo muhusika mkuu,miaka yote amekuwa akiendesha uhuni wa kupita bila kupingwa kule ubunge chattle,kuna mwaka nakumbuka mgombea wa upinzani alizuiliwa Kwa trecta,jaffo anatekeleza tyu maelekezo,wa kujiuzulu ni jiwe analiharibu taifa
 
Mbowe amezungukwa na washauri wabaya

toka dr slaa aondoke amekuwa na maamuzi ya kukurupuka
 
Mwenye masikio na asikie
 
Hahahaaaaa......!

Umenikumbusha Mchungaji Erasto: Jaffo mnamuonea bure hana sifa ya Jaji

Maendeleo hayana vyama!
 

Not so fassssst!

Uchaguzi haurudiwi kisenge senge!

Unarudiwa kwa masharti yapi yaliyoko mezani??

Upinzani haurudii uchaguzi wowote bila masharti yao kutimizwa!

Hii sio some uamuzi binafsi wa Jafo kuita vyombo vya habari na kutoa maamuzi binafsi tu!

Hapa ni mezani,otherwise wajipigie kura wenyewe!

Mawe ni kiazi sana aisee!
 
Duh...!! Pepa umeibidua juu chini!! Makali wanayo wapinzani... 'uchwara' .kwa herini wapinzani mmeua ndoto zetu.
 
Jafo hajawahi kuwa mwadilifu
 
yaan hii serikali ya ajabu kweli, wazir amewarudisha kwa vigezo gani wakat alisema wamekosea masharti...jiwe ameanza kuona aibu..
 
Kumbe yeye ndiye atoae ruhusa!!?
 
Ukweli mtupu !!
 
Jafo
Tume
CCM
Serikali

Kila hoja wanayotoa kuhalalisha mazonge yao inakosa mashiko na ndio watu wanazidi kuiona hila yao

Yani hizi wiki tatu zimekua Ni za aibu kuu kwa gvt

Pole Sana jafo ivumayo haidumu.
 
Jafo amechanganyikiwa na bado utajuta kuwekeza kwenye kuoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…