Mgombea anapaswa kudhaminiwa na chama chake ngazi ya tawi...sasa ndugu zetu hawa hawana matawi wala mihuri
[/QUOTE
mwaka huu tu ndio hawana matawi wala mihuri? abigaili alisema bila ya kupepesa macho kuwa nabali=jingalao!
Kwa mara ya kwanza em shughulisha ubongo wako kidogo. Usiwe mamluki kila saa. Hii post si ya mtu mwingine ila ndani ya ofisi yake.Hatukumuelewa tu
Alisema waliochukua na kurudisha fomu kisha wakakatwa na kukata rufaa watarejeshwa kwenye mchuano
Moods sinawaelewa mimi nazungumzia tofauti ya kauli ya Jafo ya jana na leo wao wanaunganisha na unaohusu waliouchukua fomu walioenguliwa wote kupigiwa kura, mimi nazungumzia kauli ya Jafo ya inasema waliopitishwa na waliokata rufaa wakashinda ndio watakao gombea, moods muwe makini hivi ni vitu viwili tofauti, asante.Mataga watakwambia uende mahakamani.
Waandikie PM wanaweza kusikilizaMoods sinawaelewa mimi nazungumzia tofauti ya kauli ya Jafo ya jana na leo wao wanaunganisha na unaohusu waliouchukua fomu walioenguliwa wote kupigiwa kura, mimi nazungumzia kauli ya Jafo ya inasema waliopitishwa na waliokata rufaa wakashinda ndio watakao gombea, moods muwe makini hivi ni vitu viwili tofauti, asante.
Government is an instrument of oppression!Enyi wagalatia serikali zote duniani ni Opressive.
labda watajipigia kura wenyewe1/wagombea wa chadema na act bado wanarejesha form licha ya viogozi wake kusema wamejitoa na tumewapokea na tutawapa fursa ya kugombea
2/Tumewapa fursa ya rufaa na wengi wameshida na tumewapa ridhaa ya kugombea
3/hakuna kuweka mpira kwapani,hakuna kuruka ukuta lazima wagombee
4/walichukua form na kulejesha wote watashiriki hiyo tarehe 24/10
State agent
Kuna kikundi fulani cha Watu Wasiojulikana wamepenyezwa kila sehemu ya nchi yenye mikusanyiko ya watu ikiwemo ktk Nyumba za Ibada. Kazi yao kubwa ni kujifanya wanyenyekevu mbele ya viongozi wa Dini na kuwa mstari wa mbele ktk kutoa au kuchangia shughuli zozote ktk maeneo yale. Hivyo kuwafanya viongozi wale kuwasogeza karibu yao. Wakishafanikiwa kuwa karibu na viongozi wale basi kila wakati huwashawishi au kujifanya wanawapa siri fulani ya kuwatisha ili wasiwe wanaindama serikali.Itakuja wakati, kila mmoja ataabudu nyumbani kwake. Ni wakati ule waumini watakaoamini kuwa dini zinaitumikia serikali na siyo muumini na Muumbaji wetu.
Siku hizi ni dhahiri, kuona baadhi ya viongozi wa dini wakihubiri sadaka na michango tu, na kisha kusifu serikali hata walipo na uhakika kabisa kuna watu wanatekwa, wanapotezwa, wananyanyaswa na kutengenezewa kesi. Na hao wanaotenda na wanaotendwa, wote ni waumini wao. Wanashindwa hata kukemea?
19%+4%=23%
Iweje CCM awe na 79%
Nauliza tu miye nilisoma HGL
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kweli kwa haya tunayoyaona yanayofanywa na hawa CCM wakiongozwa na Mwenyekiti wao, hatuna budi kusema kuwa hiko chama kimekufa na kinachosubiri kwa sasa ni mazishi rasmi