Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Mgombea anapaswa kudhaminiwa na chama chake ngazi ya tawi...sasa ndugu zetu hawa hawana matawi wala mihuri
[/QUOTE
mwaka huu tu ndio hawana matawi wala mihuri? abigaili alisema bila ya kupepesa macho kuwa nabali=jingalao!
 
Hatukumuelewa tu
Alisema waliochukua na kurudisha fomu kisha wakakatwa na kukata rufaa watarejeshwa kwenye mchuano
Kwa mara ya kwanza em shughulisha ubongo wako kidogo. Usiwe mamluki kila saa. Hii post si ya mtu mwingine ila ndani ya ofisi yake.
tapatalk_1573506138148.jpeg
 
jipigieni kura wenyewe mtashinda mbona..
Kwanini mlazimishe watu .
Kwanza shughuli za kisiasa zilikatazwa.
Tuacheni raia tupige kazi.
na 2020 pia mfanye hivi hivi
 
Mataga watakwambia uende mahakamani.
Moods sinawaelewa mimi nazungumzia tofauti ya kauli ya Jafo ya jana na leo wao wanaunganisha na unaohusu waliouchukua fomu walioenguliwa wote kupigiwa kura, mimi nazungumzia kauli ya Jafo ya inasema waliopitishwa na waliokata rufaa wakashinda ndio watakao gombea, moods muwe makini hivi ni vitu viwili tofauti, asante.
 
Waandikie PM wanaweza kusikiliza
 
IMG-20191111-WA0006.jpg

FB_IMG_1573528455771.jpg

Huko Uganda Baraza la Maaskofu huko (UCS) umetoa tamko kukemea nguvu mkubwa inayotumimwa na Serikali pamoja na vyombo vyake kugandamiza watu na kuondoa utu wa RAIA wa Uganda jambo ambalo ni kweli kabisa.

Huku Tanzania Maaskofu mpaka sasa wameshajitokeza zaidi ya watano kuzungumzia masuala ya uchaguzi na wote wamesema haki itendendeke jambo ambalo ni kweli kabisa.

BAKWATA huko DODOMA wao wameunga mkono na wanaipongeza Serikali ya awamu ya tano katika kuleta maendeleo nchini jambo ambalo ni kweli kabisa.

Enyi wagalatia serikali zote duniani ni Opressive. Hivyo Dini, Asasi za Kiraia, Vyombo vya habari, Mahakama ni mojawapo ya taasisi zinazotumika katika nchi nyingi kushusha Nguvu ya jidubwasha linaloitwa SRERIKALI.

Ole Mushi
0712702602.
 
I am sorry but bakwata is a bunch of😈™️©️😈👹👺☻😈🧟‍♂️people.
 
Hivi yule Shekh wa Dar yupo? simsikii siku hizi! Mwaka umeisha na Mange anadunda. Alidhani kila mtu anatishika na dini!
 
Itakuja wakati, kila mmoja ataabudu nyumbani kwake. Ni wakati ule waumini watakaoamini kuwa dini zinaitumikia serikali na siyo muumini na Muumbaji wetu.

Siku hizi ni dhahiri, kuona baadhi ya viongozi wa dini wakihubiri sadaka na michango tu, na kisha kusifu serikali hata walipo na uhakika kabisa kuna watu wanatekwa, wanapotezwa, wananyanyaswa na kutengenezewa kesi. Na hao wanaotenda na wanaotendwa, wote ni waumini wao. Wanashindwa hata kukemea?
 
Viongozi wengi wa DINI ni Makanjanja ,wakora, wahuni, wanafiki, wezi wa sadaka, njaa kubwa, wazinzi na wazandiki.
 
1/wagombea wa chadema na act bado wanarejesha form licha ya viogozi wake kusema wamejitoa na tumewapokea na tutawapa fursa ya kugombea

2/Tumewapa fursa ya rufaa na wengi wameshida na tumewapa ridhaa ya kugombea

3/hakuna kuweka mpira kwapani,hakuna kuruka ukuta lazima wagombee

4/walichukua form na kulejesha wote watashiriki hiyo tarehe 24/10

State agent
labda watajipigia kura wenyewe
 
Itakuja wakati, kila mmoja ataabudu nyumbani kwake. Ni wakati ule waumini watakaoamini kuwa dini zinaitumikia serikali na siyo muumini na Muumbaji wetu.

Siku hizi ni dhahiri, kuona baadhi ya viongozi wa dini wakihubiri sadaka na michango tu, na kisha kusifu serikali hata walipo na uhakika kabisa kuna watu wanatekwa, wanapotezwa, wananyanyaswa na kutengenezewa kesi. Na hao wanaotenda na wanaotendwa, wote ni waumini wao. Wanashindwa hata kukemea?
Kuna kikundi fulani cha Watu Wasiojulikana wamepenyezwa kila sehemu ya nchi yenye mikusanyiko ya watu ikiwemo ktk Nyumba za Ibada. Kazi yao kubwa ni kujifanya wanyenyekevu mbele ya viongozi wa Dini na kuwa mstari wa mbele ktk kutoa au kuchangia shughuli zozote ktk maeneo yale. Hivyo kuwafanya viongozi wale kuwasogeza karibu yao. Wakishafanikiwa kuwa karibu na viongozi wale basi kila wakati huwashawishi au kujifanya wanawapa siri fulani ya kuwatisha ili wasiwe wanaindama serikali.
Wale wanaokaidi utakuta wanapata vikwazo vya kila namna na kuwafanya walegeze misimamo yao.
 
Back
Top Bottom