kemia ni nzuri sana katika mikono inayoongozwa na kichwa elekevu na elekezi. huwezi kuwa na mamlaka kama hauko chini ya mamlaka. kujimwambafai ni tatizo mama. solutions zinatengeneza problems. phd ya maganda ya korosho ingetengeneza kiwanda cha kubangua korosho tupate maganda hapahapa. tunaexport korosho safi tunabaki na maganda. akili ya maganda!Hahahhaa Ikulu wanachanganya solutions zoote had linatokea bomu!🤠
kemia ni nzuri sana katika mikono inayoongozwa na kichwa elekevu na elekezi. huwezi kuwa na mamlaka kama hauko chini ya mamlaka. kujimwambafai ni tatizo mama. solutions zinatengeneza problems. phd ya maganda ya korosho ingetengeneza kiwanda cha kubangua korosho tupate maganda hapahapa. tunaexport korosho safi tunabaki na maganda. akili ya maganda!
ungeonyesha nimevunga wapi ingefaa. moshi wa maganda ya korosho ulitosha kuvunja ziara pale ruangwa kwa shangazi yake na waziri mkuu!🤣🤣🤣🤣umevunga mnooo
ungeonyesha nimevunga wapi ingefaa. moshi wa maganda ya korosho ulitosha kuvunja ziara pale ruangwa kwa shangazi yake na waziri mkuu!
kemia ni nzuri sana katika mikono inayoongozwa na kichwa elekevu na elekezi. huwezi kuwa na mamlaka kama hauko chini ya mamlaka. kujimwambafai ni tatizo mama. solutions zinatengeneza problems. phd ya maganda ya korosho ingetengeneza kiwanda cha kubangua korosho tupate maganda hapahapa. tunaexport korosho safi tunabaki na maganda. akili ya maganda!
Inasikitisha sana, watendaji aliwapa wasaa mzuri akawahoji vp wanasemaje wananchi kuhusu mm, majibu ya wengi, mkuu bado wengi hawakuelewi.
Jafo aweza kuwa mbuzi wa kafara bure.
Bora anayetawazisha vizee kuliko wewe unayelamba vijambio vya wenzakoNgurumo amekuwa mwehu Kwasababu ya kutawaza mavi vizee vya kizungu
Arudi nyumbani aache kujifanya mkimbizi
Wewe ni mnafiki ulikuwepo?Inasikitisha sana, watendaji aliwapa wasaa mzuri akawahoji vp wanasemaje wananchi kuhusu mm, majibu ya wengi, mkuu bado wengi hawakuelewi.
Jafo aweza kuwa mbuzi wa kafara bure.
Ndio waweza pataHivi kinapatikana wapi hiki kitabu? PDF naweza pata
Yani umeonyesha kiwango cha upumbavu ulionao,jibu hoja.Ngurumo amekuwa mwehu Kwasababu ya kutawaza mavi vizee vya kizungu
Arudi nyumbani aache kujifanya mkimbizi
Nipe jinsi ya kukipataNdio waweza pata
hela ya tuisheni inajenga flaiova ya madongokuruka. usiaibishe taaluma adhimu ya ualimu kwa kujiita mwalimu. chama hakisajiliwi bila sera mezani. waliolipa kodi kwetu wataambiwa kodi yao imetumikaje. hela za ruzuku hazijengi madaraja wala zahanati mwalimu pasipo elimu!Wekeni sera zenu mezani , waambieni watu mliyoyafanya miaka mitano, sio mnashinda kila siku kupiga soga na kula hela za ruzuku
vyama vya upinzani havitoshiriki. hakuna mgombea hata mmoja kutoka vyama hivyo. kuna vyama rafiki vilivyotangaza kushiriki havina mgombea hata mmoja. wagombea wote ni wa chama kimoja ndani ya vyama vingi. hawana mpinzani hata mmoja. wanatangazwa kupita bila kupingwa. ushindi wa kishindo bila uchaguzi. jafo atangaze ratiba mpya kwa mwezi. hakuna kampeni. muda huo utumike kushona suti za kijani za kuapa nazo. 24/11 iwe siku ya kula kiapo kwa wenyeviti na wajumbe serikali za mitaa/vitongoji!Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates
Wakati huo utakuwa unatekeleza ilani ya chama pendwa CCMwaliolipa kodi kwetu wataambiwa kodi yao imetumikaje.