Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Ccm shindeni sasa ule ushindi wenu wa kimbunga! Nitashangaa mtu akiacha shughuli zake, eti aende kupiga kura!
 
Huyo Jafo ajiandae tu kufukuzwa kazi na Jiwe.........

Kwa kuwa upuuzi wote huu ameuleta Jiwe, anayejiona kuwa ndiye "anayelimiliki" Jeshi la Polisi kwa hiyo atakayeleta fyoko, atashughulikiwa
Hivi ukiacha mshahara huo kiduchu na nyumba zisizo na square wanazoishi police kitu kingine kinachowafanya police wa Tanzania wageuzwe maroboti na ccm na Magufili ni nini? sometime huwa sielewi eti
 
Hivi ukiacha mshahara huo kiduchu na nyumba zisizo na square wanazoishi police kitu kingine kinachowafanya police wa Tanzania wageuzwe maroboti na ccm na Magufili ni nini? sometime huwa sielewi eti
Amewapa mamlaka ya kuchukua rushwa kwa ajili ya kununulia kiwi.
 
Ameziona dalili kama hizi ametambua Tanzania ni ya wananchi.
IMG-20191107-WA0006.jpeg
 
Akiongea na wandishi wa habari hivi karibuni kuhusu wagombea wa upinzani kuenguliwa.

Katibu wa itikadi na uwenezi wa CCM,H Polepole alisema,"Serikali isije ikajaribu kuwarudisha wagombea walioenguliwa kwani wameenguliwa kutokana na kanuni za uchaguzi"

Pia alisisitiza hata baada ya rufaa,kwa watakao pitishwa kugombea ,wataweka mapingamizi.

Pia Naibu Waziri wa TAMISEMI Mwita Waitara amewahi kunukuliwa,walio ona kuwa wameonewa baada ya kuenguliwa waende mahakamani si vinginevyo

Kwa misimamo ya Polepole ,je CCM watasusia uchaguzi serikali za mitaa?

Je, Mapingamizi yataendelea kuwekwa?
 
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates
labda tunaanza kutekeleza rasmi ile hukumu ya mgombea binafsi
 
Ningemshauri waziri wetu mchapa kazi hivi angeliruhusu huko wanakosema kuwa CCM tumepita bila kupingwa kuangaliwe upya. Je, hapo kijiji/mtaa/kitongojini hapakuwa na mpinzani yeyote?? Kwa sababu walisema kuwa figisu zilianzia tangu uhamasishaji wa kuchukua fomu. Watendaji wengi walikwamisha watu kuchukua fomu hadi siku zikapita. Pia kulikuwa na malalamiko mh Jafo kuwa watendaji walikuwa wanazipeleka fomu kwa wadau wa CCM hadi kwao majumbani huku wapinzani wakinyimwa kuwa zimekuja chache.
Ushauri mh. Jafo.
Rudia japo kwa haraka fomu zichukuliwe upya tu ili tuwaoneshe kuwa; Hatuuogopi upinzani. Hadi sasa 54% ya watz wanakipenda chama chetu. Tusiogope kwani Aliyoyafanya JPM yanajieleza wazi wazi ka jua la kiangazi.
 
Mi siku zote nasema kama watanzania wenyewe hawata form rebellion ya kukiondoa chama cha misukule toka madarakani . Miaka yote mnaendelea kulia na kusaga meno tu .
 
1. TAMISEMI ipo chini ya rais.
2. Rais alishasema wazi watendaji aliowateua wakitangaza wapinzani kuwa wameshinda imekula kwao.
3. Jafo anauwezo wa kuteulia vyama wagombea hata kama vyama hivyo havitaki.
4. Jafo huyu atashindwaje kutangaza washindi anaowataka yeye na maslahi ya chama chake?
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
wewe kweli kichwa chako 'bashite kweli kweli' hivi hujui hata kama ukimchukua mtoto wa darasa la kwanza umuulize kati ya wagombea wa "thithiem" na upinzani wakina nani hawajui kusoma na kuandika atakuelezea vizuri bila wasiwas ni wa thithiem sasa niaje wao ndio wasionekane kuwa na matatizo kwenye uandikishaji? Janja yenu ya kitoto imeshajulikana na huu mchezo mlioucheza tokea mwanzo bila kutumia akili kama ilivyokawaida yenu sasa yamewatokea puani mnaanza kutapatapa hamchelewi kusogeza uchaguzi mbele mara ohoo mara lile...mbona mnalo mwaka huu. Subirini hiyo tarehe 24 ndio mtajua kuwa Jiwe anapendwa nchi nzima ama la manake sijui mara hii mtawatoa wapi watu wa kubeba na marori ....
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika

Nakuona unavyojitia kidole mwenyewe na kufurahi
 
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Sikulaumu wewe bali namlaumu babaako aliyeshindwa kukojolea nje!!
 
Wanabodi, Hakika ule usemi usemao akili sio ukubwa wa kichwa umetimia kwa huyu waziri Seleman Jafo,

Leo unaitisha vyombo vya habari kuomba wale ulioshiriki kuwafuta warudishwe kugombea, Tulishauri bandikeni majina ya wanaccm tu kwenye mbao hapa JF na umetekeleza ushauri wetu hapa JF, Tunakupongeza kwa hilo, Sasa tu nakushauri tena endelea na sera za kifashisti na kibaguzi ili wewe na kundi lako mje mvune mnachokipanda

Jafo alichagua kuwa wa moto kufuata sheria za kifashisti na kibaguzi, Jafo uliamua kuigawa jamii makundi mawili ili lengo lako la watu kupigana na kuchomeana mali lipate kutimia na umeshalitimiza baadhi ya maeneo, Uliamua kukaa kimya ulipoambiwa watendaji wanafunga ofisi hawataki kupokea fomu za vyama vingine

Jafo Leo umegeuka vuguvugu hujawa moto wala baridi, Hujui la kufanya, Mamlaka iliyokuteua imekuzidi akili, Kwa elimu yako ungeandika barua kwa mamlaka ya uteuzi upumzike, Umegeuka kituko mbele ya Jamii

Wewe ni mmoja ya wacheza ngoma wa Pwani uliepata elimu kidogo hivyo tulitegemea utaijenga jamii yako kwa fikra na mawazo, Sasa umegeuka katuni mbele ya jamii

Unaongea huku Facial impression au muonekano wake usoni ni dhahiri una mawazo mengi Sana lakini hujui hatima ya uwaziri wako

Umetumia neno mpira kwapani zaidi ya mara nne huku ukibabaika na kutetemeka wakati wa kuongea, Ni dhahiri mambo kwako ni magumu sana, Huelewi mwisho wa siasa zako za kikatili na kifashisti itakuaje? Leo umeongea kama mtu uliyebanwa sana na kivuli tusichokiona


Seleman Jafo wewe ni sadaka inayosubiriwa na maamuzi ya wananchi, Bosi wako anasubiri reaction ya wananchi Halafu wewe utatolewa sadaka kuwa hujasikiliza wananchi

Maelezo uliyoyatoa Leo yanapingana na ndugu yako Humprey pole pole aliyesema CCM na watendaji wa kata na vijiji walichofanya kuwafuta wagombea wengine ni sahihi,

Jafo unasikiliza chama au unasikiliza aliyekuteua, Kwa ufupi ulipaswa kusimamia ukatili uliouonyesha toka mwanzo na kufa na tai shingoni

Ulisahau kuwa asilimia 90 ya watanzania hawana vyama ni Raia tu wa kawaida, Wewe na kundi lako mlifikiri wale viongozi wa mitaa na watendaji wanaongoza ccm, Act na Chadema

Kumbuka kuna maelfu ya watanzania wamekua maskini, hawana ajira, Hawa hawana vyama bali uchaguzi ni sehemu ya kupunguza hasira na mawazo

Pambana na maisha ya wananchi, CCM na Chadema hamfiki hata asilimia 11 ya watanzania

Sasa waziri Jafo jamii inakutazama kama kituko ambae hujui hatma ya maisha ya siasa zako za moto
 
Kelele zote zile kumbe waliochukua form kugombea kupitia Chadema ni asilimia 19% tu
.....hii ina maana ilikuwa haina upinzani kwa asilimia zaidi ya 80
 
Hii press inahusu wagombea binafsi. Kwa kifupi Tanzania imeingia kwenye aibu. Chama kijiondoe halafu mgombea abaki kuwa halali! Pathetic.

Viongozi wanaotokana na CCM ni vichaa mkuu
 
JAFO bana kwa hiyo Chadema waongo walivypsema wana wagombea 85% nchi nzima haaa January hii mbaya sana anataka kuhatarisha Chadema wape we ushindi wa 18%
 
Back
Top Bottom