Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ukiacha mshahara huo kiduchu na nyumba zisizo na square wanazoishi police kitu kingine kinachowafanya police wa Tanzania wageuzwe maroboti na ccm na Magufili ni nini? sometime huwa sielewi etiHuyo Jafo ajiandae tu kufukuzwa kazi na Jiwe.........
Kwa kuwa upuuzi wote huu ameuleta Jiwe, anayejiona kuwa ndiye "anayelimiliki" Jeshi la Polisi kwa hiyo atakayeleta fyoko, atashughulikiwa
Amewapa mamlaka ya kuchukua rushwa kwa ajili ya kununulia kiwi.Hivi ukiacha mshahara huo kiduchu na nyumba zisizo na square wanazoishi police kitu kingine kinachowafanya police wa Tanzania wageuzwe maroboti na ccm na Magufili ni nini? sometime huwa sielewi eti
labda tunaanza kutekeleza rasmi ile hukumu ya mgombea binafsiWaziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates
Hicho tu ndo kinafanya wageuzwe maroboti? ni saidie kuelewa vichwani mwao kuna ubungo au umetolewa?Amewapa mamlaka ya kuchukua rushwa kwa ajili ya kununulia kiwi.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Unachukua TATU jumlisha TISA, unakopa moja. Unapata asilimia 100. Hesabu za CCM amefundisha vizuri Polepole.
wewe kweli kichwa chako 'bashite kweli kweli' hivi hujui hata kama ukimchukua mtoto wa darasa la kwanza umuulize kati ya wagombea wa "thithiem" na upinzani wakina nani hawajui kusoma na kuandika atakuelezea vizuri bila wasiwas ni wa thithiem sasa niaje wao ndio wasionekane kuwa na matatizo kwenye uandikishaji? Janja yenu ya kitoto imeshajulikana na huu mchezo mlioucheza tokea mwanzo bila kutumia akili kama ilivyokawaida yenu sasa yamewatokea puani mnaanza kutapatapa hamchelewi kusogeza uchaguzi mbele mara ohoo mara lile...mbona mnalo mwaka huu. Subirini hiyo tarehe 24 ndio mtajua kuwa Jiwe anapendwa nchi nzima ama la manake sijui mara hii mtawatoa wapi watu wa kubeba na marori ....Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Sikulaumu wewe bali namlaumu babaako aliyeshindwa kukojolea nje!!Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Hii press inahusu wagombea binafsi. Kwa kifupi Tanzania imeingia kwenye aibu. Chama kijiondoe halafu mgombea abaki kuwa halali! Pathetic.