kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Semeni upuuzi mwingine huu umesikilizwa!Mimi sijaelewa hoja gani ya kisheria imefuatwa kuwarejesha waliokatwa kisheria kama sheria nankanuni zilivyotumika kuwaondoa hapo awali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Semeni upuuzi mwingine huu umesikilizwa!Mimi sijaelewa hoja gani ya kisheria imefuatwa kuwarejesha waliokatwa kisheria kama sheria nankanuni zilivyotumika kuwaondoa hapo awali.
Acha uduwanzi au wewe ni msukule?Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena
Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa
Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi
Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego
Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe
Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
We kenge tu
Walipoondolewa unakumbuka ulisema nini?Hakuna kisingizio tena! Mpaka kieleweke hata vilaza wasiojua kujaza fomu wameruhusiwa!! Haya leteni kisingizio kingine sasa!
Mimi sijaelewa hoja gani ya kisheria imefuatwa kuwarejesha waliokatwa kisheria kama sheria nankanuni zilivyotumika kuwaondoa hapo awali.
Nimempingaje?Unapingana na Waziri Wako??
Leo Maaskofu wameponda sana mchakato wa uchaguzi hasa askofu Bagonza,unaweza soma mwananchi online for more info.Viongozi wa dini ni wanafiki..
Wanabodi, Hakika ule usemi usemao akili sio ukubwa wa kichwa umetimia kwa huyu waziri Seleman Jafo,
Leo unaitisha vyombo vya habari kuomba wale ulioshiriki kuwafuta warudishwe kugombea, Tulishauri bandikeni majina ya wanaccm tu kwenye mbao hapa JF na umetekeleza ushauri wetu hapa JF, Tunakupongeza kwa hilo, Sasa tu nakushauri tena endelea na sera za kifashisti na kibaguzi ili wewe na kundi lako mje mvune mnachokipanda
Jafo alichagua kuwa wa moto kufuata sheria za kifashisti na kibaguzi, Jafo uliamua kuigawa jamii makundi mawili ili lengo lako la watu kupigana na kuchomeana mali lipate kutimia na umeshalitimiza baadhi ya maeneo, Uliamua kukaa kimya ulipoambiwa watendaji wanafunga ofisi hawataki kupokea fomu za vyama vingine
Jafo Leo umegeuka vuguvugu hujawa moto wala baridi, Hujui la kufanya, Mamlaka iliyokuteua imekuzidi akili, Kwa elimu yako ungeandika barua kwa mamlaka ya uteuzi upumzike, Umegeuka kituko mbele ya Jamii
Wewe ni mmoja ya wacheza ngoma wa Pwani uliepata elimu kidogo hivyo tulitegemea utaijenga jamii yako kwa fikra na mawazo, Sasa umegeuka katuni mbele ya jamii
Unaongea huku Facial impression au muonekano wake usoni ni dhahiri una mawazo mengi Sana lakini hujui hatima ya uwaziri wako
Seleman Jafo wewe ni sadaka inayosubiriwa na maamuzi ya wananchi, Bosi wako anasubiri reaction ya wananchi Halafu wewe utatolewa sadaka kuwa hujasikiliza wananchi
Maelezo uliyoyatoa Leo yanapingana na ndugu yako Humprey pole pole aliyesema CCM na watendaji wa kata na vijiji walichofanya kuwafuta wagombea wengine ni sahihi,
Jafo unasikiliza chama au unasikiliza aliyekuteua, Kwa ufupi ulipaswa kusimamia ukatili uliouonyesha toka mwanzo na kufa na tai shingoni
Ulisahau kuwa asilimia 90 ya watanzania hawana vyama ni Raia tu wa kawaida, Wewe na kundi lako mlifikiri wale viongozi wa mitaa na watendaji wanaongoza ccm, Act na Chadema
Kumbuka kuna maelfu ya watanzania wamekua maskini, hawana ajira, Hawa hawana vyama bali uchaguzi ni sehemu ya kupunguza hasira na mawazo
Pambana na maisha ya wananchi, CCM na Chadema hamfiki hata asilimia 11 ya watanzania
Sasa waziri Jafo jamii inakutazama kama kituko ambae hujui hatma ya maisha ya siasa zako za moto
CCM mnamatatizo
Mmeachiwa ushindi kajitangazeni tu
Si hivo tu.
Mkuu umeulizwa kifungu gani cha sheria kimetumika...au zile fomu hazikujazwa kimakosa ?Semeni upuuzi mwingine huu umesikilizwa!
🤣🤣🤣🤣Elimu yako kiwango chake tafadhali
Watendaji si ndio hao hao watakaosimamia huo Uchafuzi?Tafuteni kisingizio kingine cha kushindwa sasa.
Anaesikiliza upuuzi na kuufanyia kazi yeye ndio mpuuzi mkubwa kuliko wote.Semeni upuuzi mwingine huu umesikilizwa!
Kilaza usiyojuwa kujaza fomu umeruhusiwa kugombea sasa unapiga kelele ya nini?