Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

Siasa za ulaghai zimefika mwisho Wananchi hatudanganyiki tena

Mimi nilijua huu ni mchezo wa upinzani kuepuka aibu ya kushindwa

Wamenusa harufu ya uchapakazi wa Magufuli anavyokubalika kwa Wananchi wakaona njia ya kuepuka aibu ni kujitoa kwenye Uchaguzi

Ila kwa kuwa Serkali inamkono mrefu ikawa imenasa huo mtego

Wengine walikosea kujaza fomu makusudi ili wasipitishwe

Ningeomba serkali iwarudishe wote hata wale wasio jua kusoma na kuandika
Acha uduwanzi au wewe ni msukule?
Magufuli sio mchapakazi bali mgandamizaji wa Demokrasia. PERIOD

Itafahamika tu endeleeni kutapatapa, Jafo anajichimbia kaburi lake mwenyewe.
 
Taka njooni tuuumane kama mko poa
Wanabodi, Hakika ule usemi usemao akili sio ukubwa wa kichwa umetimia kwa huyu waziri Seleman Jafo,

Leo unaitisha vyombo vya habari kuomba wale ulioshiriki kuwafuta warudishwe kugombea, Tulishauri bandikeni majina ya wanaccm tu kwenye mbao hapa JF na umetekeleza ushauri wetu hapa JF, Tunakupongeza kwa hilo, Sasa tu nakushauri tena endelea na sera za kifashisti na kibaguzi ili wewe na kundi lako mje mvune mnachokipanda

Jafo alichagua kuwa wa moto kufuata sheria za kifashisti na kibaguzi, Jafo uliamua kuigawa jamii makundi mawili ili lengo lako la watu kupigana na kuchomeana mali lipate kutimia na umeshalitimiza baadhi ya maeneo, Uliamua kukaa kimya ulipoambiwa watendaji wanafunga ofisi hawataki kupokea fomu za vyama vingine

Jafo Leo umegeuka vuguvugu hujawa moto wala baridi, Hujui la kufanya, Mamlaka iliyokuteua imekuzidi akili, Kwa elimu yako ungeandika barua kwa mamlaka ya uteuzi upumzike, Umegeuka kituko mbele ya Jamii

Wewe ni mmoja ya wacheza ngoma wa Pwani uliepata elimu kidogo hivyo tulitegemea utaijenga jamii yako kwa fikra na mawazo, Sasa umegeuka katuni mbele ya jamii

Unaongea huku Facial impression au muonekano wake usoni ni dhahiri una mawazo mengi Sana lakini hujui hatima ya uwaziri wako

Seleman Jafo wewe ni sadaka inayosubiriwa na maamuzi ya wananchi, Bosi wako anasubiri reaction ya wananchi Halafu wewe utatolewa sadaka kuwa hujasikiliza wananchi

Maelezo uliyoyatoa Leo yanapingana na ndugu yako Humprey pole pole aliyesema CCM na watendaji wa kata na vijiji walichofanya kuwafuta wagombea wengine ni sahihi,

Jafo unasikiliza chama au unasikiliza aliyekuteua, Kwa ufupi ulipaswa kusimamia ukatili uliouonyesha toka mwanzo na kufa na tai shingoni

Ulisahau kuwa asilimia 90 ya watanzania hawana vyama ni Raia tu wa kawaida, Wewe na kundi lako mlifikiri wale viongozi wa mitaa na watendaji wanaongoza ccm, Act na Chadema

Kumbuka kuna maelfu ya watanzania wamekua maskini, hawana ajira, Hawa hawana vyama bali uchaguzi ni sehemu ya kupunguza hasira na mawazo

Pambana na maisha ya wananchi, CCM na Chadema hamfiki hata asilimia 11 ya watanzania

Sasa waziri Jafo jamii inakutazama kama kituko ambae hujui hatma ya maisha ya siasa zako za moto
 
Kwanza kabisa ili kurudisha imani kwa wananchi kuhusu uhalali na haki katika uchaguzi, wale watendaji wote waliohusika kufanya uhalifu dhidi ya wagombea, wakaaibisha serikali ndani na nje, waondolewe kwenye ofisi zao na wafunguliwe mashitaka.
Haiwezekani na haikubaliki popote pale, kuwarudisha wagombea waliokatwa huku uchaguzi ukisimamiwa na wahuni wale wale.
 
Kisheria Jafo hana mamlaka ya kuwaengua au kuwarudisha ulingoni wagombea na ilimradi waliowadhamini wameshatoa tamko la kujitoa.
Iundwe Tume guru ndipo kutakua na Uchaguzi wa kweli na haki.
QUOTE="ibesa mau, post: 33433089, member: 325958"]
Jafo hajawahi kufanya kazi kwenye Halmashauri, anaposema vilivyosusia ni vyama sio wagombea ,ana maanisha wagombea wataendelea kupigiwa kura, hajui madhara yake ukiwa watachaguliwa, hawatashiriki shughuri zozote za maendeleo ikiwa watapita. Ikitokea hivyo shughuri nyingi za kwenye hizi LGAs zinategemea sana hawa viongozi na sio madiwani. Watapelekewa vifaa vya viwandani kwenye miradi wataviweka ndani, shughuri nyingi za wananchi zitakwama.

Mimi nafikiri utafutwe muafaka , Jafo ana mamlaka ya kuwarudisha wagombea wote waliotolewa, kwa sababu makosa yao ni madogodogo tu ya ujazaji wa fomu sio ya jinai.
Lazima ifike mahari tukubali hatukufikiria wakati tunapanga kuwaondoa xhadema na ACT, ilibidi pia tupandikize wahombea toka kwenye vyama vingine 11,ili hawa wakigoma hao wengine wanabakizwa kwa ajiri ya justification, sasa hawajasimamisha wagombea halafu wanaambiwa waende mbele ya waandisha wa habari wakatoe tamko la kuendelea na uchaguzi, wakati tumeshachelewa
[/QUOTE]
K
 
Back
Top Bottom