Kweli Samia ni jeuri. Hajali ht vikwazo vya mabeberu!
 
CCM waoga sana na hawana akili za kukabiliana na wakinzani wao kisiasa na kwa ustaarabu.CCM ni mapumbavu mwili mzima!
 
Uoga ndo chanzo Cha yote haya
Na mfumo jinsi ulivo ni mwendo wakufata maelekezo
Asa mtu ndoakwambie anauzalendo!?
Shwain....
 
Choma Choma Mpaka Imebidi Government Iombe Poo Vinginevyo Inazidi Kuvuliwa Nguo Hadharani Watu Wanaona
Bila Police Hawatoboi Popote Pale
Hali ilikuwa mbaya...

Kuna mtu alishangaa...CHADEMA kuanzia kupata wafuasi kusini ..Lindi na Mtwara
Akaniambia hii ni Red Flag

Mbaya zaidi Hawa jamaa wanachangiwa Hela kwa mahaba, imeleta wasiwasi mkubwa sana huko ndani kwa wahusika wasiopenda demokrasia
 
Kwa sasa zoezi litaenda kwa haki STOP-MEAN-STOP-FOR-ALL-PARTY.
 
sasa huo ni udikikteta wenyewe... hata dingi ndani ya nyumba huwa anapingwa na kuwasikiliza vijana wake... serikali sio dingi wangu...
 
sasa huo ni udikikteta wenyewe... hata dingi ndani ya nyumba huwa anapingwa na kuwasikiliza vijana wake... serikali sio dingi wangu...
Gentleman,
Mamlaka zote za wanadamu zilimetoka kwa Mungu. Kutokutii mamlaka za dunia ni kutokumtii Mungu.

warumi 13:1-7πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…