Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kwanini wasitolewe wasipotimiza malengo tuliyokubaliana? Umesoma makubalianoNi kweli TICS wamekuwa na utendaji mdogo tumewatoa, je hewa DPW na wenyewe wakiwa na utendaji mbovu tunaweza kuwatoa na kuweka wengine?
Hoja zao huwa hawagusi vipengele vya mkataba...Mbona hajajibu swali. wamepewa kwa miaka mingapi?
TICS walikua watanzania wenzetu wapigaji wanawaza wizi tu ngoja tuwalete watu ambao wapo serious na kazi.Ila hii nchi ina mambo ya ajabu!! Mtu mmempa mkataba wa miaka 20 akavurunda vibaya bado mnamuongezea wa miaka mitano!!!! No wonder huu mkataba mwingine umekaa ndivyo sivyo[emoji134][emoji134][emoji134]
Siyo kweli hata kidogo.Maswali yote uliyouliza yana jibu moja tu ni kwamba DP WORLD anakidhi sifa miongoni mwa makampuni yote katika uendeshaji wa bandari.
Watanzania wenzetu mliwashindwa ndio mtawaweza hao!!! Tena kwa mkataba kama ule!! Hamjielewi.TICS walikua watanzania wenzetu wapigaji wanawaza wizi tu ngoja tuwalete watu ambao wapo serious na kazi.
Tangu lini IGA ikawa na muda! HGA itakuwa na nini sasa?Mkataba ni wa muda gani? Nijibu kwanza hili.
Kwanini serikali isiwekeze yenyewe mitambo mikubwa ya kufanya kazi hiyo?Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa amesema utendaji mbovu wa bandari unasababisha meli zitumie muda mwingi bandarini ambapo gharama ya meli kubaki bandarini huingia mfanya biashara hivyo bidhaa kuwa ghali mtaani. Amesema kwa sasa meli hutumia hadi siku saba kwa mzigo kupakuliwa.
Umemjibu sawasawa na ujingawake.Bado nakusubiri uje kunichemshia, mbona unachelewa au umepita kwanza sokoni kuchukua vyakupika mchana?
Ambayo mwisho wa siku ingekwenda kuwekeza kwenye nchi nyingine kama hao Dubai wanavyotaka kuja kufanya hapa2.Katika miaka yote hii ya Uhuru, Je, Serikali yenyewe imefanya juhudi gani za makusudi katika kuwawezesha Watanzania wazawa ili waweze kuendesha Bandari hiyo?? Kwa nini haikuunda Kampuni yake yenyewe ambayo ni strong and competent katika kufanya shughuli za Badari??
Uvivu wao na uwezo wao mdogo wa kufikiri na kutazama mbali ndiyo umetufikisha tulipo, they are really ceremonial leaders who never think of our future generations, wao wanaishi hand to mouthHajajibu hoja zinazotiliwa shaka na wananchi.
Kwa ni wamepewa mkaba usio na Kikomo
Kwa nini wamepewa Bandari zoote, Anga, Reli na Barabara milele na milele.
Waziri Mkuu na yeye ni kama hajui kama sisi tu.
1. Je, kuwapa hao DPW ndio suluhisho la kudumu la tatizo hilo??
2.Katika miaka yote hii ya Uhuru, Je, Serikali yenyewe imefanya juhudi gani za makusudi katika kuwawezesha Watanzania wazawa ili waweze kuendesha Bandari hiyo?? Kwa nini haikuunda Kampuni yake yenyewe ambayo ni strong and competent katika kufanya shughuli za Badari??
3. Je, kuuza au kubinafsisha wa wageni kila taasisi ya Serikali iliyoshindwa kujiendesha ndio suluhisho sahihi l a matatizo yetu??
4. Je, kampuni ya kitanzania yenye uwezo wa kufanya kazi za bandari ni TICTS tu peke yake??Zingine mbadala hakuna hadi wapewe DPW??
5. Kama utendaji usioridhisha wa Kampuni ya TICTS ndio kigezo kilichosababisha bandari kuuzwa kwa wageni, mbona kuna taasisi nyingi hapa nchini ( taasisi binafsi na taasisi za Serikali) ikiwamo na Ofisi yake ya Waziri Mkuu na Ikulu ya Rais pia, taasisi ambazo nazo utendaji wake si wa kuridhisha.Je, taasisi hizo (Ikulu na OWM nazo sasa tunatakiwa tuzibinafsishe kwa raia wa kigeni eti kisa zina utendaji usioridhisha???? Ndio anataka kutuambia hivi Watanzania??
6.Je, TPA itakuwa na Jukumu gani basi baada ya bandari zote kubinafsishwa hapa Tz???
7.Ni kwa nini Serikali isifikirie kuivunja Mamlaka ya Bandari (TPA), kuivunja TASAC pamoja na taasisi zingine zote zinazohusika na masuala ya Bandari hapa nchini ili kuunda kampuni moja kubwa itakayoshirikiana au kuingia ubia na taasisi binafsi za ndani ya nchi kama vile TICTS ili kufanya kazi za bandari kwa ufanisi zaidi badala ya kufikiria kubinafsisha bandari zote kwa kampuni ya kigeni ya DPW kwa Mkataba wa maisha/milele????????????
Maana yake , yeye kama waziri mkuu na mtendanji wa serikali- HATOSHI- kama utendaji kazi mdogo, kwa ni nini wasiongeze ufanisi kwa sisi wenyewe. kama utendaji kazi mdogo, chanzoi ne yeye. Longo longo tupu na kuzunguka mbuyu.S
Sipingi DPW, ila huyu Waziri Mkuu anasema bidhaa zimekuwa ghari mtaani kwa sababu ya Customs na TRA au ushushaji mizigo polepole yaani procedure za TICS, huyu DPW atatatua hayo matatizo kwa technologia gani? Yaani meli zisushe mizigo haraka, zipunguze muda wa kungoja?
S
Sipingi DPW, ila huyu Waziri Mkuu anasema bidhaa zimekuwa ghari mtaani kwa sababu ya Customs na TRA au ushushaji mizigo polepole yaani procedure za TICS, huyu DPW atatatua hayo matatizo kwa technologia gani? Yaani meli zisushe mizigo haraka, zipunguze muda wa kungoja?
Maana yake , yeye kama waziri mkuu na mtendanji wa serikali- HATOSHI- kama utendaji kazi mdogo, kwa ni nini wasiongeze ufanisi kwa sisi wenyewe. kama utendaji kazi mdogo, chanzoi ne yeye. Longo longo tupu na kuzunguka mbuyu.
Hiyo katiba manayo? Au bado mnategemea mkurugenzi atangaze matokeo ya jimbo na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi taifa atangaze matokeo ?Uzuri wake tumebakiza mwaka 1 kuingia kwenye Uchaguzi ujao hapo 2025.
Na kwa taarifa za ndani ile nguvu ya Ukawa ya 2015 itakuwa mara mbili zaidi maana ushawishi wa Chama Tawala upande wa Kanda ya ziwa umeshuka zaidi baada ya kifo cha JPM
Wakurugenzi wamepigwa marufuku kusimamia Chaguzi.Hiyo katiba manayo? Au bado mnategemea mkurugenzi atangaze matokeo ya jimbo na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi taifa atangaze matokeo ?
Hawajui hata tatizo niniNi kweli TICS wamekuwa na utendaji mdogo tumewatoa, je hewa DPW na wenyewe wakiwa na utendaji mbovu tunaweza kuwatoa na kuweka wengine?