Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Nahisi kungekua na policy ya mapenzi kazini. Hasa ofisi namba Moja. Siku yakivunda ndo utajua hujui. Anatoa Siri zote hadharani. Mpaka zile zilizofichwa ndani ya boksi serikali haizijui.
 
Wewe unaakili
 
Marehemu wakati wa uhai wake alikumbuka kutubu hii dhambi?


View: https://youtu.be/pxhY4mJIGwc?si=klLYxOk_FxJYcY1A
 
Hakuna heri kwenye Polygamy ….. fanya study fanya study kijana…… do not be
Too Subjective …….fanya study hata kwa 20 women wa kiislam unaowajua wawe honest….. nini mtazamo wao wa polygamy

Kwa mwanamke yoyote kuolewa mitara ni sawa na Kumwaga petrol kwenye kidônda

Wengi watavumilia kama upo vema financially…. Utasikia atajua mwenyewe…. Mimi nalea wanangu tu

Polygamy kwa maisha ya sasa ni irrelavant na haiwezi kuleta uimara wa familia


Mwanamke mwenye maono , akili na anaetaka familia yenye kujielewa hawezi kukubali MITARA, never
 
Yupo mwana mmoja alikuwa mtumishi kwa muda very hard working, Samia alipoingia akapendekezwa ale teuzi……during vetting process …..Confidential File likaonesha kuwa yeye ni SHOGA …. So process ikawa suspended
Kama hili lingekuwa linazingatia kusingekuwa na mawaziri mashoga na wasagajiwakurugenzi mashoga na wasagaji,makatibu mashoga na wasagaji nk nk
 
Kama hili lingekuwa linazingatia kusingekuwa na mawaziri mashoga na wasagajiwakurugenzi mashoga na wasagaji,makatibu mashoga na wasagaji nk nk
Hadi uthibitishe

Kuna wengine wanakuwa obvious miscles zimeshalegea kila mahali
 
Taarifa ikufikie kuwa Rais mstaafu, mzee Mwinyi alikuwa na mke zaidi ya mmoja.
 

Kwa Sheria za Tanzania, kuwepo kwa Ndoa Kati ya Mume na Mke hakuthibitishwi kwa kuwepo kwa Cheti Cha Ndoa tu peke yake, hata Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage) pia ni Uthibitisho tosha Mojawapo wa kwamba Wahusika walikuwa au ni Wenza.

Kwa Kesi hii ya huyu mtu, nadhani busara ya Mahakama itatumika katika kuamua Mgawanyo wa Mirathi ya huyo Marehemu kwa hawa Wenza wake wawili aliokuwa nao. Naamini kwamba kila mmoja hapo ana Haki ya kupata Urithi wake kutoka kwa huyo Marehemu.

Huyo Mwanamke RAS wa Singida hata kama hakufunga naye Ndoa kisheria Wala hakuzaa na huyo Marehemu, bado anayo Haki ya kupata Mgawo wa Mali kutoka kwa huyo Marehemu.

Kumbukeni tafsiri za kisheria za maneno haya:-
1. Dhana ya Ndoa (Presumption of Marriage).
2. CHUMO LA NDOA (Matrimonial Property)
Ukizingatia Ukweli halisi kwamba huyo Marehemu Job Ndugai tayari alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke aliyefungua naye Ndoa kanisani. Walikuwa hawaishi pamoja, na wakati huyo Job Ndugai alipokuwa anachuma baadhi ya Mali zake alizoziacha, huyo Mwanamke aliyefungua naye ndoa kamwe hakuchangia kitu chochote kile (hakutoa jasho lake) kwenye upatikanaji wa hizo Mali kwa sababu walikuwa hawaishi pamoja. Hivyo basi, huyo Mwanamke hawezi kuwa na Haki ya kupatiwa mgawo wa hizo Mali. Badala yake, huyo Mwanamke wa pili (huyo RAS) ambaye alikuwa akiishi pamoja na huyo Marehemu atakuwa ana Haki zote kabisa za kupata Mgawo wake kwa sababu upatikanaji wa Mali hizo yeye binafsi (RAS) ana mchango wake(i.e Matrimonial Property) chini ya kigezo Cha kuwepo kwa Dhana ya Ndoa.
 
Ufafanuzi Mzuri Quod.
 
Kama Job alifunga ndoa kanisani na Stela,na hakuwahi kumtakaki kwa uasherati ambao dini ndio inatambua sababu pekee ya kuvunja ndoa,Hapo bi Fatma ni kimada hana chake,Kama angekuwa amezaa nae basi angekula kupitia mtoto maana kwenye mirathi watoto wote ni sawa
 
hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Kumbe Fatima hajazaa?Sasa why Ndugai aliambatana na Fatima hata India?
 
Amezaa nae

Pia Job ndio alie mu officialize Dr Fatima

Sasa Job ndio
Anajua zaidi…..
Amezaa nae watoto wangapi ??Maana inasemekana walikutana huyu Fatima akiwa Dr Kongwa .Na alimchukua kutoka kwa mwanaume mwingine .Au watoto aliomkuta nao kawaadopt?
 
You are wrong in some extent.

1. Ni kweli kabisa kwamba Watoto wa Marehemu watapata mgawo wa Mali za baba yao.
2. Bi Fatuma siyo kimada kama unavyofikiri, bali pia ni Mwenza Halali wa Marehemu kwa mujjbu wa Sheria ya Ndoa ya Tz chini ya Kifungu Cha Sheria hiyo kinachotambua uwepo wa Dhana ya Ndoa ( Presumption of Marriage).
Hivyo Basi, Bi Fatuma atapata Mgawo wake wa Mirathi kutoka kwa Marehemu hata kama hawakuwahi kufunga Ndoa officially.
Kumbuka: Job Ndugai alishatengana muda mrefu na huyo Mwanamke wa kwanza ambaye alifunga naye Ndoa kanisani.
Baadhi ya Mali zake huyo Marehemu amezichuma akiwa anaishi pamoja na huyo Mwanamke wa pili Bi. Fatuma. Hivyo Basi, huyo Mwanamke wa kwanza aliyefunga naye Ndoa Kanisani hana Haki kabisa za kuweza kupata Mgawo kutoka kwenye Mali hizo kwa sababu hajachangia kitu chochote kile kwenye upatikanaji wa Mali hizo.
 
Amezaa nae watoto wangapi ??Maana inasemekana walikutana huyu Fatima akiwa Dr Kongwa .Na alimchukua kutoka kwa mwanaume mwingine .Au watoto aliomkuta nao kawaadopt?
Stori za Koridon

Wana two kids
 
Sahihi…. Tatizo wengi wanakariri hawajui kuwa JF tuna experts wa kila aina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…