Wengi wanaopiga kelele kuhusu bandari ni wapitisha mizigo kimagendo bandarini

Hakuna mtoto hapa asielewe unachoandika na kujua tafsir ya unachoandika
Tulia binti, sisi tunajikita na hoja ya bandari......bandari ni uchumi, bandari ni uhuru, bandari ni usalama.
 

Kwa jibu hili itoshe kusema baki na upomomo wako [emoji1787]kama hata ujui nn kitafanyika kwenye bandar mpk mapato yaongezeke me cna mda wa kukupa somo..
 
nani kakwambia dili nchi yyte zitakuja isha , ??? hao waarabu unadhani dili hawatopiga ??? shida siyo watz, sheria zipo zikaziwe kabisa , wakati wa jiwe hamna aliye thubutu wizi pale meaning laws do work , unadhani walio juu hawali from those deals , kwani hao wezi hawaogopi kwa nini , mwisho mkubwa yyte akikiri eti wizi hauishi apewe risasi tu ameshindwa kazi . Mbona enzi za jiwe wizi uliisha ?? suluhisho sio mwaarabu , ikienda private sasa jua wizi utakuwa full scale , kutakuwa hamna disclosures tena to tyhe public , hizo ripoti za CAG unazoquote in private enterprises hazipo , hela ndo itaibiwa vizuri sasa
 
We ni katika wale mliodanganywa na hilo kundi .
Ni kweli mtu anaweza kuwa sio mnufaika lakini akawa ni mwepesi wa kudanganyika !! Na watu wa hivyo huwa ni wengi !!
 

Mkuu waibe vip akati kila mtu anatakiwa kupata faida.kumbuka ikishakua private inamaana cc tunachofata hapo ni pato la taifa.now tunapata tirion 9 ila wakiboresha tunapata tirioni 27 uko hapo umeibiwaje mkuu...
 
Sorry! mkuu.

Pamoja mkuu..tukirudi kwenye mada mkataba kuna vipengele baadhi vya kurekebisha ila huo uwekezaji ni mzuri kwa taifa..unaleta tija na utapunguza matozo tozo ya kila cku kwa mapato tutayopata pale
 
Mkuu waibe vip akati kila mtu anatakiwa kupata faida.kumbuka ikishakua private inamaana cc tunachofata hapo ni pato la taifa.now tunapata tirion 9 ila wakiboresha tunapata tirioni 27 uko hapo umeibiwaje mkuu...
kaka DP world wanawadanganya wabongo tu na CCM inajua hilo , import and export are demand driven issues , nchi tunazolenga kwa pakubwa ni rwanda na burundi both of which ni ndogo meaning much demand will be internal , wawe wasiwe as long as demand ipo mali itapita tu . Mwisho hamna vile utampa mwarabu bandari iliyojengwa na systems zote complete kisha uumpe tu , angekuwa mwekezaji angefanya wachina walivofanya Kenya , walipewa sehemu wakajijengea wenyewe "DONGO KUNDU PORT" , ila kuwapa mali ya jumuia hivo tu its a grave mistake
 
Pamoja mkuu..tukirudi kwenye mada mkataba kuna vipengele baadhi vya kurekebisha ila huo uwekezaji ni mzuri kwa taifa..unaleta tija na utapunguza matozo tozo ya kila cku kwa mapato tutayopata pale
Hii nchi wote tunaijua, hizo sound tulishapigwa sana huko nyuma kwenye mikataba kibao ikiwemo ya gesi. Hizo ni dili za watu wanakuwa wamepata migao yao halafu wanaingiza nchi kingi.
 
Kwakifupi serikali ya Tanzania ndiyo inayoua biashashara kwahiyo haiwezi kufanya biashara wanapoteza muda mwingi na fedha nyingi kutengenzea tozo miongozo na sera bila kushirikisha wajasiriamali, (wadau husika), matokeo yake vyote hivyo wanavyopanga haviwi na matokeo chanya
 

Abasi ndio maana nakuambia tusibishane kwa maneno ambayo haypo kwenye mkataba...kama dp world ikishindwa kufanya hayo mapato kuongezeka namna hio c inamaanisha wao wamevunja mktaba?na hilo litakua jambo jema kwetu
Lakin wao c kampuni ya kuokoteza mkuu hio dp world kama imeweza kuendesha mpk bandari za USA na nchi nyingine za ulaya washindwe hapa kwa tz kweli?
 

Sera hizo mbovu ndio zikaua mpk viwanda vya uma..serikali ya tz haiwez biashara kabs
 
Kweli hekina busara za walio wengi zimekwama na kupotea, kipofu kwa sasa anaona na mwenye macho haoni. mwenye elimu hatambui mbumbumbu anatambua, samaki anavuliwa nchi kavi na mbuzi anachungwa bahari. mafanikio yamebaki kuwa manung'uniko na anguko limekuwa pongngezi. wanaopinga rushwa ndio waoogoza kuopea rushwa. wanaodai haki ndio wanaonunua na kuuza haki. maarifa yanapungua na ujinga hususani kwa wasomi unaongezeka. ewe tanuru la maarifa njoo uwaone hawa
 
Serikali ndio inayosababisha hayo yote kwa kushindwa kuyathibiti. Sasa ni heri tuikodisheau kuiwekeza hiyo serikali kwa mwarabu milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…