Isaya 55:8-9 Mahaana mawazo yangu si mawazo yenu Wala njia zangu asema BWANA.Vipaumbele vya hili taifa vimekuwa ni kuuza Sura....., tusipoangalia tutakuta tunainvest zaidi kwenye kuagana wakati mtu ume-RIP kuliko kusaidiana wakati tupo hai ?
Nina uhakika hizo bajeti / pesa / muda na usumbufu kwa wafiwa hata ungemuuliza marehemu huenda angesema hizo pesa mpeni mke wangu na ndugu zangu ziwasaidie....
Mkuu punguza chuki na HOFUKuombewa na tapeli wa kutumia neno la Mungu, ni kumfungia marehemu milango ya mbinguni. Mshirikina Gwajima mnampa nafasi kama hiyo?
Mungu na misukule, wapi na wapi! Mbona wamemtenda hivi marehemu? Afadhali niombewe na muumini mwenzangu wa kawaida kuliko na mshirikina Gwajima.
kuna vifo vya kujitakia na vya siku ambayo ameipanga Mungu. just because watu wanakufa haimaanishi usichukue hatua nope.Kifo akikimbiwa as long as siku yako imefika uwezi kuzuia
Mkuu kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wakokuna vifo vya kujitakia na vya siku ambayo ameipanga Mungu. just because watu wanakufa haimaanishi usichukue hatua nope.
unaweza ukajinga leo?je ni mipango ya Mungu ujinge nope?
Kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Kikubwa mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wakoKwa hiyo anayejinyonga siku yake imefika au??
WeHata darasani siyo wote wanaoelewa ndio maana kuna kipanga na mbwiga!
Kabisa...Yani wanakufuru...huyu gwajima hata kwenye mitandao yuko akitiana...so sad..Kuombewa na tapeli wa kutumia neno la Mungu, ni kumfungia marehemu milango ya mbinguni. Mshirikina Gwajima mnampa nafasi kama hiyo?
Mungu na misukule, wapi na wapi! Mbona wamemtenda hivi marehemu? Afadhali niombewe na muumini mwenzangu wa kawaida kuliko na mshirikina Gwajima.
Nakubaliana na wewe kuna siri kubwa na ni Mungu tu anayepanga ila Mungu kamuumba binadamu tofauti ndio maana akampa daraja kubwa akatupa maarifa na elimu nakutaka tumuombe yeye kwa mazuri na mabaya. Wala hakuna wakuepuka kifo ila ukiumwa unatakiwa ukatafute matibabu ndio maana kuna wanapona na wanaofariki. Mtu akifariki baada ya juhudi zote za binadamu unasema ashukuriwe Mungu tumefanya tuliyoweza ila Mungu kataka tofauti ila sikubaliani mfano mzee wako sana labda ana miaka hata 100 anumwa halafu useme kishakuwa mzee sana tu mwachie Mungu hapana utamtibu mpaka dakika ya mwisho unafanya unaloweza kufanya.Kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Kikubwa mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wako
hakuna mtu ambae hamtegemei Mungu. lakin isiwe chanzo chq kutokuchukua hatua kujilinda. huo utakuwa ni uzembe wako mwenyewe.Mkuu kifo ni fumbo akuna awezaye kutegua ama kufahamu atakufa vipi. Mtegemee Mungu ni yeye pekee anaye jua mwisho wako
AmenBado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali
ko wewe hujui.unajua ngalau mwaka ilitolewa tahadhali je mwaka huu vip na watu wanapukutika hujuiMuulize Mnyika alitaka Magufuli amfanyie nini ambacho kimefanyika kwingineko kilichoondoa corona?
Yani anataka Magufuli afanye nini ili watu wasife?
19, yapiga hodi pentagon
Ashakimbia Mdo kitambo sana...tena hakanyaji huto mapema hiiBado haijapiga mahali, ikishatikisa hapo kila goti litapigwa! Siku hiyo haiko mbali