Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

Mkuu hivi barabara gani ambayo alijenga mkoloni ambayo mpaka leo bado ipo?
Ujenzi wa miundombinu mbalimbali unategema expansion ya population ambayo inaendana na kukua kwa miji so lazima utajenga tu miundombinu mipya.
Chukua mfano wa bandari lazima ubora wake uwe upgraded maana inahitaji kukidhi mahitaji ya kipind hiki though ilijengwa na mkoloni lakin ilivyoleo unaweza linganiasha na ya mkoloni 5yrs before, vivyo hivyo dar airport...
Hawa jamaa uwezo wa akili zao kufikiri ni mdogo sana
 
Hakuna malaika wanaoongoza duniani hata ukija na tume huru kwa vigezo vitakavyokubalika na wote, bado tegemea kuona rafu zikichezwa.

Siasa za kiafrika zimejaa kila aina ya mazingaombwe, haina maana kwamba upinzani unaundwa na malaika na CCM ni mashetani. Wapinzani wakipewa nafasi ya sasa ya chama tawala wanaweza na wao kuonekana ni mashetani na CCM wakachukua nafasi ya umalaika.
 
Chini ya rais huyu na tume hii isiyo huru ya uchaguzi, hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya kipimo cha ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Kwakua hata wewe Ni mtu mweusi, Sina Shaka na kauli yako.
 

Sisi tunakemea udhalimu na hatujali ni nani anafanya udhalimu. Hata kama ni rafu sio hizi za wazi hivi.
 
Lowassa hakuwa mpinzani, bali alikuwa ni tapeli wa kisiasa aliyekosa nafasi ya kugombea urais kupitia ccm, akanunua nafasi hiyo kupitia cdm.
Kwaiyo Lissu alimleta tapeli chadema? Manake alijisifu kuwa yeye na Gwaji boy ndio walimleta Lowasa, Basi nae ni tapeli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…