Uchaguzi 2020 Yaliyojiri katika Kampeni za Tundu Lissu Jijini Mwanza

MIMI NAWAONEA HURUMA TU WATANI ZANGU WANYALU WA IRINGA MJINI, KWA CCM KULISIMAMISHA SHANGINGI LA MJINI LILILOOLEWA NA KUACHIKA ZAIDI YA MARA 10.
 
Acha uzwazwa wewe. Tembelea bugando uone kama watu hawaugui ovyo. Hospital zipo full halafu mjinga mmoja kisa siasa unaleta undezi eti watu hawaugui ovyo mfyuuu zako
 
Tofauti ya Lisu na Lowasa Mwanza inaonekana live Leo Enzi zake Lowasa asubuhi mapema viwanja vya furahisha vilikuwa vimeshajaa

Sasa hivi hamna kitu.Tutaweka picha za waliohudhuria Leo na wale wa 2015 wa Lowasa.

Uone Chadema ilivyodorora
 
Chadema mazombi sana wanapiga vita ununuzi wa ndege, lakini Lissu anatumia ndege hizo kusafiri kuwahi mikutano,Dar to Kilimanjaro na Kilimanjaro to Mwanza.

Mwanza hawatamuelewa kabisa mji ule ulikuwa kimya kwa miaka 25 bila kusikika kwa HORN ya Meli kubwa.HORN hiyo imerudishwa na JPM kwa kutupia meli mbili kubwa MV Victoria na MV Butiama aka HAPA KAZI TU. Kanda ya ziwa symbol kuu ni Meli na HORN zake zinapopigwa kuashiria kung'oa au kutia nanga you always feel the environment of the beautiful ROCK CITY.Tundu Lissu hana cha kusema pale.Magu ni mtoto wa Mwanza
 
Mbona Bashite na Lameki Madilu walikuwepo, au hukuwa na panga kule Jamuhuri Dodoma?
 
Sisi tuneshawasili Mwanza tayari kumpokea Mh Rais Tundu Lissu....
Uzuri hata shule zimefunga so waalimu na wafanyakazi wameahidi kumsikiliza rais wa matarajiio yao....

Updates to follow soon....
 
Tundu Lissu akitaka Kura, anachopaswa kufanya ni kuzungumzia vizuri issue ya Maji. Mwanza tunapata tabu Sana ya Maji. Maji shida Sana na wakati ziwa lipo karibu tu mita chache.
Kabisa mkuu... Ukiwa mikoa mungine unaweza kudhani Mwanza hakuna shida ya maji.... Yani ni aibuuu
 
Hongera zenu. Naomba huko kannda ya ziwa mkutano mmoja uwe Chato tena ikiwezekana iwe pale pale nyumbani kwa Nduli Idd Amin
Dada au mobutu seseseko kuku wazabanga
 
Kuna umuhimu wa barabara zinazoingia jijini Mwanza ziwe njia nne kutokea Kisesa na Usagara.itapendeza
 
Hizo hela unawapa wewe? Hao wasukuma hawana lolote kazi kuhama hama kutafuta maisha mazuri
 
ILA NAONA CCM wako kimya, Nadhani wamewaacha chadema waanza ili wao wawe wa mwisho, kupoteza memory ya wapiga kura wa lissu.
 
ILA NAONA CCM wako kimya, Nadhani wamewaacha chadema waanza ili wao wawe wa mwisho, kupoteza memory ya wapiga kura wa lissu.
Tutarudi awamu ya mwisho kufunika mashimo hayo machafu ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…