KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ninaielewa vizuri sana hiyo methali mkuu wangu Retired, ni wewe tu hukunielewa nilichoandika hapo.sijakuelewa.... ni methali, tumeifundishwa darasa la kwanza miaka ya 1960! ulikuwa hujazaliwa , labda na wazazi wako walikuwa bado! kuwa majuto ni mjukuu...... tafuta maana yake
Hata Google kwangu inasumbua inaload na kukata bhasiIsearch google
Freeman Mbowe ndiye kamfanya Sabaya ajione ni mungu mdogo. Alitakiwa ashughulike naye hadi sasa awe kamumaliza lakini aliendelea kumchekelea mpaka hali imekuwa hivyo ilivyo.Fafanua mtifuano wa namna gani????
Kama ulkikua huja down load kabla. Pata nwenye nao akurushie kwa blue tooth.....tuLeo serikali imetuweza nilitaka nidownload vpn imegoma kabisa nani ana ujuzi huku bukoba mitandao ya kijamii haifanyi kazi.
Habari ya Mwanza mwana JF mwenzangu Kagalala kapige kura yako tumuondoe mkaburuHata kama watalazimisha Magu atangazwe mshindi lakini message sent, hatakiwi na hapendwi.
Mpaka wanatuzimia mitandao yote kusudi waibe kura. Shame on you na vibaraka wote wa CCM
Huko wapi nije nikutoeSasa mbona nimekamatwa?
Mmh hii tume hii!!Bora wangemuweka Lissu katikati ndio ingewachanya watu, walivyomuweka mwisho ndio wameturahisishia, huangaiki kumtafuta, unaenda mwisho moja kwa moja una tick
Huu ni uhujumu ulio wazi. Kukubali matokeo ya uchaguzi kwenye mazingira ya namna hiyo ni upumbavu!Nimepiga KURA kituo cha Serikali za Mitaa Mwanamtoti (Kijchi - Mbagara - Dam) saa moja na busy hakuna MAWAKALA.
Wapo PEMBENI kwa sababu HAWANA BARUA ZA KUWATAMBULUSHA
Msimamizi wa Kituo namba moja amemtoa Dada mmoja aluyesema yeye ni WAKALA wa ACT - WAZALENDO kwa sababu Hana barua ya UTAMBULISHO na kwamba yeye (Msimamizi Kituo namba moja (1) HANA TAARIFA ZA HUYO WAKALA. (Dada mmoja MNENE AMEVAA SURUALI NA T - SHIRT)
We use JF as a learning platform! Siyo lazima kuwakumbuka uliojibizana nao na ulichojibizana nao, lakini kuna kitu utajifunza! Mfano, nimejifunza kuwa tunao watanzania makatili! Mfano, ukiona mtu anashabikia Magufulli anasahau atrocities ambazo nchi hii imepitia kipindi cha miaka 5, unajua kabisa kuwa kumbe tuna watu makatili usivyofikiria!Ninaielewa vizuri sana hiyo methali mkuu wangu Retired, ni wewe tu hukunielewa nilichoandika hapo.
Najua leo ni siku ya mihemko mingi, lakini sitegemei veteran kama wewe kuathirika na haya yanayotokea leo ndani ya taifa letu.
Nakushangaa kidogo kwa kutokuwa na kumbukumbu yoyote. Unaingia JF na kumwaga uliyonayo na kuondoka bila kumbukumbu yoyote kuhusu unaojibishana nao!
Saikolojia ya Mahela imemtuma hivyo.Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Hapo cjui itakuaje, kwangu ipo vzri kabisa. Cdhan kama watailock google coz watu wengi wanaitumia kufanya biasharaHata Google kwangu inasumbua inaload na kukata bhasi
Ningepanga Alphabetically.. A_ZUngelikuwa wewe ndiye unajukumu la kupangilia majina ya wagombea ungefanya vipi..?
Kura yako kwa CCMMimi tayari Niko kituoni. SAA 9:45.
SAA ya Ukombozi ni sasa, majuto ni Mjukuu, usifanye makosa
Mnachekesha, TZ iko poa kabisaTumesha sign petition ya Ngurumo, dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Ni bora kuliko kuwekwa katikati. Haina usumbufuChadema imewekwa ya mwisho kwenye kila fomu ya upigaji kura, kuanzia Rais hadi Diwani
Nafikiri wewe ndiwe una maono ya kitoto sana kwa sababu umjaa malalamishi tu na hukubaliani na utaratibu wowote ule usioonyesha kumpendelea Lissu. Yeye alitegea awe wa mwisho kuridisha formu ali awawekee mapingamizi wenzake. mapingamizi hayakufanikiwa, na hivyo serial namba yake katika kurudisha formu ikawa ni ya mwisho. Haluna rejista yoyote unayoweza kuweka entry kwa kuruka zile zilzokuwemo. tayari.Mbona kwa wabunge na madiwani hatukuona hali hiyo wakwanza kuchukua fomu? Ni hivi, ni mambo ya kitoto.