Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
sijakuelewa.... ni methali, tumeifundishwa darasa la kwanza miaka ya 1960! ulikuwa hujazaliwa , labda na wazazi wako walikuwa bado! kuwa majuto ni mjukuu...... tafuta maana yake
Ninaielewa vizuri sana hiyo methali mkuu wangu Retired, ni wewe tu hukunielewa nilichoandika hapo.
Najua leo ni siku ya mihemko mingi, lakini sitegemei veteran kama wewe kuathirika na haya yanayotokea leo ndani ya taifa letu.

Nakushangaa kidogo kwa kutokuwa na kumbukumbu yoyote. Unaingia JF na kumwaga uliyonayo na kuondoka bila kumbukumbu yoyote kuhusu unaojibishana nao!
 
Fafanua mtifuano wa namna gani????
Freeman Mbowe ndiye kamfanya Sabaya ajione ni mungu mdogo. Alitakiwa ashughulike naye hadi sasa awe kamumaliza lakini aliendelea kumchekelea mpaka hali imekuwa hivyo ilivyo.
 
Hata kama watalazimisha Magu atangazwe mshindi lakini message sent, hatakiwi na hapendwi.
Mpaka wanatuzimia mitandao yote kusudi waibe kura. Shame on you na vibaraka wote wa CCM
Habari ya Mwanza mwana JF mwenzangu Kagalala kapige kura yako tumuondoe mkaburu
 
Bora wangemuweka Lissu katikati ndio ingewachanya watu, walivyomuweka mwisho ndio wameturahisishia, huangaiki kumtafuta, unaenda mwisho moja kwa moja una tick
Mmh hii tume hii!!
sio kwamba ipo na Lissu....!!
 
Nimepiga KURA kituo cha Serikali za Mitaa Mwanamtoti (Kijchi - Mbagara - Dam) saa moja na busy hakuna MAWAKALA.

Wapo PEMBENI kwa sababu HAWANA BARUA ZA KUWATAMBULUSHA

Msimamizi wa Kituo namba moja amemtoa Dada mmoja aluyesema yeye ni WAKALA wa ACT - WAZALENDO kwa sababu Hana barua ya UTAMBULISHO na kwamba yeye (Msimamizi Kituo namba moja (1) HANA TAARIFA ZA HUYO WAKALA. (Dada mmoja MNENE AMEVAA SURUALI NA T - SHIRT)
Huu ni uhujumu ulio wazi. Kukubali matokeo ya uchaguzi kwenye mazingira ya namna hiyo ni upumbavu!
NEC walipanga maksudi iwe hivyo? Halafu watangaze matokeo ya uchaguzi kuwa halali?
 
Ninaielewa vizuri sana hiyo methali mkuu wangu Retired, ni wewe tu hukunielewa nilichoandika hapo.
Najua leo ni siku ya mihemko mingi, lakini sitegemei veteran kama wewe kuathirika na haya yanayotokea leo ndani ya taifa letu.

Nakushangaa kidogo kwa kutokuwa na kumbukumbu yoyote. Unaingia JF na kumwaga uliyonayo na kuondoka bila kumbukumbu yoyote kuhusu unaojibishana nao!
We use JF as a learning platform! Siyo lazima kuwakumbuka uliojibizana nao na ulichojibizana nao, lakini kuna kitu utajifunza! Mfano, nimejifunza kuwa tunao watanzania makatili! Mfano, ukiona mtu anashabikia Magufulli anasahau atrocities ambazo nchi hii imepitia kipindi cha miaka 5, unajua kabisa kuwa kumbe tuna watu makatili usivyofikiria!
 
Nimeipenda hii ya Rais mtarajiwa kupanga foleni kituoni ili atimize haki yake ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.

Mungu ibariki Tanzania
 
Mbona kwa wabunge na madiwani hatukuona hali hiyo wakwanza kuchukua fomu? Ni hivi, ni mambo ya kitoto.
Nafikiri wewe ndiwe una maono ya kitoto sana kwa sababu umjaa malalamishi tu na hukubaliani na utaratibu wowote ule usioonyesha kumpendelea Lissu. Yeye alitegea awe wa mwisho kuridisha formu ali awawekee mapingamizi wenzake. mapingamizi hayakufanikiwa, na hivyo serial namba yake katika kurudisha formu ikawa ni ya mwisho. Haluna rejista yoyote unayoweza kuweka entry kwa kuruka zile zilzokuwemo. tayari.
 
Back
Top Bottom