KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ninaielewa vizuri sana hiyo methali mkuu wangu Retired, ni wewe tu hukunielewa nilichoandika hapo.sijakuelewa.... ni methali, tumeifundishwa darasa la kwanza miaka ya 1960! ulikuwa hujazaliwa , labda na wazazi wako walikuwa bado! kuwa majuto ni mjukuu...... tafuta maana yake
Najua leo ni siku ya mihemko mingi, lakini sitegemei veteran kama wewe kuathirika na haya yanayotokea leo ndani ya taifa letu.
Nakushangaa kidogo kwa kutokuwa na kumbukumbu yoyote. Unaingia JF na kumwaga uliyonayo na kuondoka bila kumbukumbu yoyote kuhusu unaojibishana nao!