Wale mnaoshindwa kuingia kwenye mitandao.kisa imefungwa .kuna member humu kashauri tudownload apkpure app.
Kweli nimedownload imefanya kazi
 
Mimi mwenyewe nipo njian, labda waniteke kama kawaida yao.
Kachinje tumrudishe chato huyu mshenzi, kazima mawasiliano yote. Na wamenipa sana mzuka, naanza kutengeneza website na apps ambazo huwezi zima unless uzime mawasiliano yote nchi nzima, tujiandae kwa miaka inayokuja maana wakishinda huu ujinga wataendelea nao
 
Halima Mdee amekamatwa na Polisi na anashikiliwa kituo cha polisi Kawe. Baada ya kukamata kura 'feki' zaidi ya ELFU KUMI na kuhamia kituo kingine, wasimamizi wa vituo wakawaita polisi na walipofika wakamkamata Halima. CCM hawataki kufanya uchaguzi, yanaendelea mambo ya hovyo.
 
Hata kama watalazimisha Magu atangazwe mshindi lakini message sent, hatakiwi na hapendwi.
Mpaka wanatuzimia mitandao yote kusudi waibe kura. Shame on you na vibaraka wote wa CCM
Kutoka tutakinukisha mpaka message sent
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!

Mambo ya kitoto sana...
Ndio mambo ya Mpendwa wako hayo,ni figisu mwanzo mwisho ,kuanzia tume ya uchaguzi,police, msajili wa vyama wote wanamkaba mtu mmoja
 

Narudia tena, kama kigezo ni hicho, mbona mtiririko sio huo kwa nafasi za ubunge na udiwani? Maana huko kurudisha kulitofautiana pia. Lisu hahitaji upendeleo wowote bali Magufuli ndio anahitaji upendeleo. Utaratibu wa mpangilio ni alphabetical order,. Sio huo uhuni wa kitoto.
 
Halima Mdee
amekamatwa na polisi na anashikiliwa kituo cha polisi Kawe. Baada ya kukamata kura 'feki' zaidi ya ELFU KUMI na kuhamia kituo kingine, wasimamizi wa vituo wakawaita polisi na walipofika wakamkamata Halima. CCM hawataki kufanya uchaguzi, yanaendelea mambo ya hovyo.
 
Imeisha hiyo nimeshamchagua Jembe na Mbunge na Diwani wake
 
Vituo vya kupigia kura kata ya Nyasura & Bunda Mjini wasimamizi wa vituo wamegoma kutoa fomu za matokeo kwa mgombea ubunge (Chadema) jimbo la Bunda Mjini kuzikagua. Taarifa zilizopo zinaeleza kwamba hizo fomu za matokeo tayari zimejazwa. Nchi imeharibika sana..
 
MGOMBEA URAIS WA CHADEMA ANAPIGA KURA WAPI?
 
Azime kwa mwezi mmoja
 
-In Tarime Rural constituency where the killings of two people are reported, the names of 95 agents who have already been sworn in are missing from a list posted by the returning officers. John Heche, one of the most powerful Chadema leaders is running to retain his seat.
 
Kapangwa na MUNGU. Misukule ya UFIPA homa imepanda. Huyo anti wenu mwambieni arekebishe tiketi yake awahi kwao wakamrekebishe naniliu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…