mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Wale mnaoshindwa kuingia kwenye mitandao.kisa imefungwa .kuna member humu kashauri tudownload apkpure app.
Kweli nimedownload imefanya kazi
Kweli nimedownload imefanya kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha hazifunguki
Kachinje tumrudishe chato huyu mshenzi, kazima mawasiliano yote. Na wamenipa sana mzuka, naanza kutengeneza website na apps ambazo huwezi zima unless uzime mawasiliano yote nchi nzima, tujiandae kwa miaka inayokuja maana wakishinda huu ujinga wataendelea naoMimi mwenyewe nipo njian, labda waniteke kama kawaida yao.
Nenda posts zilizotangulia utaikuta.picha hazifunguki
Kutoka tutakinukisha mpaka message sentHata kama watalazimisha Magu atangazwe mshindi lakini message sent, hatakiwi na hapendwi.
Mpaka wanatuzimia mitandao yote kusudi waibe kura. Shame on you na vibaraka wote wa CCM
Ndio mambo ya Mpendwa wako hayo,ni figisu mwanzo mwisho ,kuanzia tume ya uchaguzi,police, msajili wa vyama wote wanamkaba mtu mmojaEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Nafikiri wewe ndiwe una maono ya kitoto sana kwa sababu umjaa malalamishi tu na hukubaliani na utaratibu wowote ule usioonyesha kumpendelea Lissu. Yeye alitegea awe wa mwisho kuridisha formu ali awawekee mapingamizi wenzake. mapingamizi hayakufanikiwa, na hivyo serial namba yake katika kurudisha formu ikawa ni ya mwisho. Haluna rejista yoyote unayoweza kuweka entry kwa kuruka zile zilzokuwemo. tayari.
Safari hii ndio watajua kwamba kumbe kuzoea vya kunyongwa is not an issue, we gonna fvck off Magufuli autocracy regime!Pole sana.ccm wanajua wanachokifanya kura yako moja kwao si kitu.
Safari hii ndio watajua kwamba kumbe kuzoea vya kunyongwa is not an issue, we gonna fvck off Magufuli autocracy regime!
MGOMBEA URAIS WA CHADEMA ANAPIGA KURA WAPI?Wakuu,
Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.
Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)
1. Chama cha Mapinduzi
Dkt. John Pombe Magufuli - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Samia Suluhu Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
2. ADA TADEA
Bw. John Paul Shibuda - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Hassan Kornely Kijogoo - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
3. SAU
Bw. Muttamwega Bhatt Mgaywa - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Satia Mussa Bebwa - Mgombea kiti cha Makamu wa Rais
4. NRA
Bw. Leopord Lucas Mahona - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Ali Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
5. Demokrasia Makini
Bi. Cecilia Augustino Mwanga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Tabu Mussa Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
6. NCCR Mageuzi
Bw. Yeremia Kulwa Maganja - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Haji Ambar - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
7. CUF
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Hamida Huweishil Abdalla - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
8. ACT Wazalendo
Bw. Bernard Kamillius Membe - Mgombea Kiti cha Rais
Prof. Omar Fakih Hamad - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
9. UPDP
Bw. Twalib Ibrahim Kadege - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Ramadhan Ali Abdallah - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
10. ADC
Bi. Queen Cuthbert Sendiga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Juma Shoka - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
11. DP
Bw. Philipo John Fumbo - Mgombea kiti cha Rais
Bi. Zaina Juma Khamis - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
12. CHAUMMA
Bw. Hashim Spunda Rungwe - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Mohammed Massoud Rashid - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
13. AAFP
Bw. Seif Maalim Seif - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Rashid Ligania Rai - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
14. UMD
Bw. Khalfan Mohammed Mazrui - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Mashavu Alawi Haji - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
15. CHADEMA
Bw. Tundu Antiphas Lissu - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Salum Mwalimu Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
Ahsante Sana MkuuTumia "Apkpure" ipo sawa na "playstore" kupakua VPN
Azime kwa mwezi mmojaNampongeza sana Magufuli kwa kuzima mitandao, kuna watu wangeshinda katika mitandao badala ya kwenda kupiga kura. Huku katika mitandao hakuna vituo vya kupiga kura wote leo tukapige kura hakuna kisingizio na wale wataalam wa Twitter nadhani sindano imewachoma.
Kuna siri kubwa nyuma ya pazia kuhusu mitandao ya kijamii, narudia kumpongea mzee kwa kuweka MAKUFULI katika mitandao [emoji1319][emoji1319][emoji1319]
Kapangwa na MUNGU. Misukule ya UFIPA homa imepanda. Huyo anti wenu mwambieni arekebishe tiketi yake awahi kwao wakamrekebishe naniliuHaya nendeni mkapige kura sasa then mrudi sio tumeongea wee kumng’oa dikteta jiwe alafu siku yenyewe kura hampigi. Mi nimeshangaa familia nzima wananiambia hawapigi sababu mshindi ashapangwa nikawaambia acheni ujinga, watanzania ambao wanakaa bila kupiga kura huku uwezo wanao wasije hata kulaumu wanachofanyiwa na hili tako.