Queen Sendiga kapiga kampeni nyingi kuliko Lipumba...😀😀😀😀.
 
Kata ya Mzingani, Tanga Mjini mawakala wote wa Chadema na ACT wameshindwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa kukosa barua za utambulisho, Mkuu wa kituo anasema kuwa barua za utambulisho ziko kwa Mkurugenzi.
Wazembe hao walikuwa wapi kuchukua kwa Mkurugenzi!?
 
Huu ni uhujumu ulio wazi. Kukubali matokeo ya uchaguzi kwenye mazingira ya namna hiyo ni upumbavu!
NEC walipanga maksudi iwe hivyo? Halafu watangaze matokeo ya uchaguzi kuwa halali?
Shughuli kwenye hicho kituo sizimame mpaka mawakala waangie, Hii inakuaje raia hawapo wasaidie?
 
Kapangwa na MUNGU. Misukule ya UFIPA homa imepanda. Huyo anti wenu mwambieni arekebishe tiketi yake awahi kwao wakamrekebishe naniliu
Bado mnaamini mungu anapanga watu? Hahaha ingekua hivyo Tanzania ingekua ulaya sasa hivi ila kila kona ni ovyo tu.
Viongozi wanawekwa na wapiga kura sio mungu sio shetani sio nani, wengine wanajiweka kwa kutumia nguvu kama huyu jiwe. Siku watanzania tukianza ku-face hiyo reality labda tutaendelea, as long as tunakaa na hizi wish za kijinga tutabaki kua nchi ya nyani tu.
 
Msanii huyu safari hii tunamhukumu kwenye Sanduku la kura
 
Nilipopiga kura jumla ya vitabu vya karatasi za ugombea Urais vipo Tisa..Kwa mujibu wa tume vinatakiwa kuwa vingapi?
 
Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!

Mambo ya kitoto sana...
Daaaah! Ujinga wa kiwango cha lami, wajenga reli madaraja, lakini bado wanaogopa, nec wamesema alikuwa wamwisho kumpitisha kwahiyo jina ndio likawa lamwisho
 
Viva lissu✌
 
Usanii mtupu

Unajuaje kama hizo kura zipo elfu Kumi?
Inaonekana n kitu mlipanga sasa mnaumbuka
 
Tunajua mtaiba, kilichofanya mzime mitandao ni nini, mnajiamini mtashinda why mzime mawasiliano
Unategemea mkuu Kura zingine haziibiki , mungu fundi Sana kuliko mawazo ya binadam mfano
3+4=7 ,22-10=12, 12-7=5 ( hapa unaweza kuiba mpka kichwa kikauma na bado usiweze
Kapigeni Kura wakuuu
 
Ama TCRS wameweza kuzima mitandao, basi tarajieni akipita magufuli, ndani ya miaka mitano kila jambo ambalo haramu ambalo CCM wanaenda kulipitisha, mf kuingeza ukomo wa rais, basi watazima. Ushakuwa utamaduni wao

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…