King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Queen Sendiga kapiga kampeni nyingi kuliko Lipumba...😀😀😀😀.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😁😁😁😁✋Umati wa vijana waliokuwa wakifurika mikutano ya Tundu Lissu haupo kwenye vituo vya kupiga kura
Wamejaa watu wazima tu wanaume na wanawake .
Wazembe hao walikuwa wapi kuchukua kwa Mkurugenzi!?Kata ya Mzingani, Tanga Mjini mawakala wote wa Chadema na ACT wameshindwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura kwa kukosa barua za utambulisho, Mkuu wa kituo anasema kuwa barua za utambulisho ziko kwa Mkurugenzi.
Shughuli kwenye hicho kituo sizimame mpaka mawakala waangie, Hii inakuaje raia hawapo wasaidie?Huu ni uhujumu ulio wazi. Kukubali matokeo ya uchaguzi kwenye mazingira ya namna hiyo ni upumbavu!
NEC walipanga maksudi iwe hivyo? Halafu watangaze matokeo ya uchaguzi kuwa halali?
Utoto upo wapi hapo?Eti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Bado mnaamini mungu anapanga watu? Hahaha ingekua hivyo Tanzania ingekua ulaya sasa hivi ila kila kona ni ovyo tu.Kapangwa na MUNGU. Misukule ya UFIPA homa imepanda. Huyo anti wenu mwambieni arekebishe tiketi yake awahi kwao wakamrekebishe naniliu
Ulipoandika umelooogaa kwenye uzi wako nilicheka sana ila fresh mzee kigagula shikamoo.Wa kwanza atakuwa wa mwisho.....
Msanii huyu safari hii tunamhukumu kwenye Sanduku la kuraTonite @ 2.30 am & in the eve of an election day in Tz, heavily armed gangsters believed to be the notorious operators of Hai DC Ole Sabaya & protected by Hai Police OCD have raided our hotel, kidnapped & disappeared with two of our armed security guards. My life is in danger.
Mkuu hamasa naona vituon ipo, na Kuna utulivu so Kama ipo sehem wamezuia mawakala wahache iyo tabia Mara moja,Shukrani sana Mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Bado sija sign dada Sky, nipe link.Tumesha sign petition ya Ngurumo, dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Daaaah! Ujinga wa kiwango cha lami, wajenga reli madaraja, lakini bado wanaogopa, nec wamesema alikuwa wamwisho kumpitisha kwahiyo jina ndio likawa lamwishoEti jina la Magufuli ndio la kwanza na la Lissu ndio la mwisho!
Mambo ya kitoto sana...
Viva lissu✌Wakuu,
Tunawaletea matukio na matokeo rasmi kwa nafasi ya Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, NEC kama yatakavyokuwa yakitangazwa.
Orodha rasmi ya wagombea wanaowania Urais kwa mujibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Kama ilivyo kwenye karatasi ya kupigia kura)
1. Chama cha Mapinduzi
Dkt. John Pombe Magufuli - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Samia Suluhu Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
2. ADA TADEA
Bw. John Paul Shibuda - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Hassan Kornely Kijogoo - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
3. SAU
Bw. Muttamwega Bhatt Mgaywa - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Satia Mussa Bebwa - Mgombea kiti cha Makamu wa Rais
4. NRA
Bw. Leopord Lucas Mahona - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Ali Hassan - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
5. Demokrasia Makini
Bi. Cecilia Augustino Mwanga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Tabu Mussa Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
6. NCCR Mageuzi
Bw. Yeremia Kulwa Maganja - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Haji Ambar - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
7. CUF
Prof. Ibrahim Haruna Lipumba - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Hamida Huweishil Abdalla - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
8. ACT Wazalendo
Bw. Bernard Kamillius Membe - Mgombea Kiti cha Rais
Prof. Omar Fakih Hamad - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
9. UPDP
Bw. Twalib Ibrahim Kadege - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Ramadhan Ali Abdallah - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
10. ADC
Bi. Queen Cuthbert Sendiga - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Khamis Juma Shoka - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
11. DP
Bw. Philipo John Fumbo - Mgombea kiti cha Rais
Bi. Zaina Juma Khamis - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
12. CHAUMMA
Bw. Hashim Spunda Rungwe - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Mohammed Massoud Rashid - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
13. AAFP
Bw. Seif Maalim Seif - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Rashid Ligania Rai - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
14. UMD
Bw. Khalfan Mohammed Mazrui - Mgombea Kiti cha Rais
Bi. Mashavu Alawi Haji - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
15. CHADEMA
Bw. Tundu Antiphas Lissu - Mgombea Kiti cha Rais
Bw. Salum Mwalimu Juma - Mgombea Kiti cha Makamu wa Rais
Usanii mtupuHalima Mdee
amekamatwa na polisi na anashikiliwa kituo cha polisi Kawe. Baada ya kukamata kura 'feki' zaidi ya ELFU KUMI na kuhamia kituo kingine, wasimamizi wa vituo wakawaita polisi na walipofika wakamkamata Halima. CCM hawataki kufanya uchaguzi, yanaendelea mambo ya hovyo.
Ha ha ha ha haUlivyo soft hivi utaweza kuandamana wewe yakitokea ya kutokea. Au tutaandamaana jf tu....
Sio wewe peke yako watanzania karibia asilimia hamsini (50%) wamelitekeleza ,kila anaetoka unamsikia tiki kwa wa mwisho ,wa mwisho kuwa wa kwanza kwenye matokeo, ndio codes ya ushindi.Nimeshaua nyani bila kumuangalia usoni! NI YEYEEEEView attachment 1614307
Unategemea mkuu Kura zingine haziibiki , mungu fundi Sana kuliko mawazo ya binadam mfanoTunajua mtaiba, kilichofanya mzime mitandao ni nini, mnajiamini mtashinda why mzime mawasiliano
Ahsante mkuuNimeshaua nyani bila kumuangalia usoni! NI YEYEEEEView attachment 1614307