Mimi tayari nimeshachinja saccos!
Halima mdee kakamatwa kwa vurugu kituo cha kupiga kura,
Anamwaga chozi balaa.
Daah ubunge mtamu.
Msaidizi wako umempa, mikazi mingi mpaka kakosa muda wa kwenda kupiga kura?Nimefurahi sana leo, maana msaidizi wangu na msaidizi wa jirani (si unajua akili zao hawa wasaidizi) wameshindwa kwenda kupiga kura kwani walikuwa wapige kura kwa jiwe.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Kaanza maneno yake 😁😁😁✋-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
Safi sana. Karibu tuendelee kuangalia TBC mubashara.Mkuu una shaka na mimi kwenye upigaji kura? Kura yangu ni kwa cdm kwa ngazi zote. Nimepita kwenye kituo changu watu ni wachache mno. Ndani ya nusu sasa naingia kituoni kuendelea kumkataa Magufuli na ccm kama kawaida yangu. Imeisha hiyo.
Kaanza maneno yake 😁😁😁-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
Na huo ni upuuzi wa nchi hii.Tanzania kuna kushinda uchaguzi na kutangazwa mshindi wa uchaguzi.Hivi ni vitu viwili tofauti.
Ungeingiza humu kila moja akajisaidiaTumesha sign petition ya Ngurumo, Dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Kaanza maneno yake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji113]
Jamii nao naona walipotea kama siku 3Mitandao itakuwa inapatikana? Maana hii JF yenyewe lazima uisearch haiji moja Kwa moja.
Twendeni hivyo hivyoTumesha sign petition ya Ngurumo, Dunia ujue yanayo endelea Tanzania.
Message:
Jimbo la Masasi 60% ya Mawakala ACT na Chadema wamezuiwa kiingia vituoni.
MUNGU yupi , nilishamsikia akiwa anaojiwa na chombo kimoja cha habari akisema haendeshi nchi kupitia MUNGU, sasa labda ana Mungu wakeTabiri kama hizi nasikia zimefanikiwa sana. Mungu bado ni Yuleyule aliyemwokoa na dhahama zote atamsimamia.
Hivi hamjiulizi kwanini tume, maDED na washrika wao wanapata taabu sana mwaka hui kuliko wakati wowote wa uchaguzi?