Uchaguzi 2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020
Ndugu zanguni nguvu inayotumika jimboni humo ni kubwa

Hakuna kiongozi wala mkuu wa idara ambaye hatumii nguvu zake kimamlaka na kikada dhidi ya Bulaya.

Hofu waliyo nayo ni endapo Bulaya akishinda vyeo vyao vitakuwa mashakani hivyo wanafanya lolote ili aanguke.

Mengi nitayaweka hapa endelea kusubiri.

Mods.. Hii mada ni exclusive kwa ajili ya marejeo ya baadae.
 
-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
Kaanza maneno yake 😁😁😁✋
 
Mkuu una shaka na mimi kwenye upigaji kura? Kura yangu ni kwa cdm kwa ngazi zote. Nimepita kwenye kituo changu watu ni wachache mno. Ndani ya nusu sasa naingia kituoni kuendelea kumkataa Magufuli na ccm kama kawaida yangu. Imeisha hiyo.
Safi sana. Karibu tuendelee kuangalia TBC mubashara.
 
-Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election.Tundu Lissu
Kaanza maneno yake 😁😁😁
 
Sehemu kubwa ya Mawakala CHADEMA walioapishwa jimbo la Kawe Mkurugenzi wa Halmashauri amebadilisha majina yao makusudi matokea yake mawakala wetu wamefika kwenye vituo asubuhi na kukuta majina yao hayapo ila kuna majina mapya ambayo kayachomeka Mkurugenzi.
 
Kwenye Vituo Vingi Jimbo La Hai, Vitabu Vya Kupiga Kura Za Urais Vimeisha. Watu Wanalazimika Kumpigia Mbunge Na Diwani Tu Bila Kupiga Kura Za Urais.

Ni Ajabu Kwanini Vituo Vimepewa Kitabu Kimoja Tu Cha Kura Za Urais Wakati NEC Wanajua Idadi Kamili Ya Wapiga Kura Kila Kituo!
 
Tabiri kama hizi nasikia zimefanikiwa sana. Mungu bado ni Yuleyule aliyemwokoa na dhahama zote atamsimamia.

Hivi hamjiulizi kwanini tume, maDED na washrika wao wanapata taabu sana mwaka hui kuliko wakati wowote wa uchaguzi?
MUNGU yupi , nilishamsikia akiwa anaojiwa na chombo kimoja cha habari akisema haendeshi nchi kupitia MUNGU, sasa labda ana Mungu wake
 
John Heche, Chadema's Parliamentary Candidate for Tarime reports that homes of many polling agents in his area were invaded at night by the police who then detained them. As a result, there are no opposition agents in many polling centers.
 
Back
Top Bottom