Wameshindwa kumuhoji aliyeshambuliwa wanamtafuta dereva wamtishe. Sitetei dereva kutokuhojiwa, lakini hakuna uchunguzi maana muhusika anaeleweka, na hakuna uwezo wa kumchukulia hatua labda ccm itolewe madarakani fullstop.So Dereva hatakiwi kuhojiwa?
Wewe si ni mpiga zumari wa CCMNEC ya CCM nimeanza kuipinga tokea mwaka 1995!
Wewe umeanza lini kunisoma humu mpaka ushangae kuona nimeandika hivyo?
Hawa watu wana hoja za ajabu sana. Hata ingekua tofauti na sasa wangelalamika tuNi lazima awepo wa kwanza na wa mwisho , ulitaka iweje? Kwa mujibu wa maelezo ya tume walifuata urejeshaji wa fomu .
Ni viwanda vya malalamiko tu!Hawa watu wana hoja za ajabu sana.Hata ingekua tofauti na sasa wangelalamika tu
Unajua maana ya watu 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Hata wangejitokeza watu 15m tu, kungekuwa na misururu hadi sasa. Ni hivi, watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.Hivi unafanyaje tathmini ya uwingi au uchache wa wapiga kura kwa kituo kimoja tu ulichopigia kura?
Huyo Sabaya Wamachame mbona wanamlea sana? Ndiyo maana Wakenya huwa nawapenda, hawapendagi ujinga huyu kunguru tungekuwa tulishamlia matanga!Kulingana na post ya Freeman Mbowe insta, yupo katika hali ya hatari sana Sabaya na Ocd wa hai wanaongoza genge la uharifu dhidi yake sijui wanataka kumteka
Hawa watu wana hoja za ajabu sana.Hata ingekua tofauti na sasa wangelalamika tu
Hiyo standard unatumia reference zipi?Kuna sheria inaonesha hivyo?Umeambiwa wameangalia wakwanza kurudisha form hadi wa mwisho kwanini nayo isiwe standard?Hata kwenye application nyingi utakuta wana namna yao ya kuchukua watu,Wa kwanza kuapply anakua wakwanza kuchukuliwa.Sio kweli acha upotoshaji usio na tija. Mfumo wa alphabetical order wa vyama ndio standard. Mbona kwa wabunge na madiwani hatujaona huo uhuni wa kitoto? Mambo ya hivyo ndio yanachangia watu kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Acha waondokewe siyo wanachama, watalindaje? Si mtasema wamepachikwa watu wa ccm?
Mkuu watu wanapiga kura then wanaondoka kuendelea nashuhulizao nyingine.Unajua maana ya watu 29m+, hiyo ni nusu ya watanzania wote. Hata wangejitokeza watu 15m tu, kungekuwa na misururu hadi sasa. Ni hivi, watu wamepuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Kura zikipigwa watu wana maisha yao binafsi yanaendelea ya kwenye kuuza bidhaa na kuwasiliana kwenye mitandao, nina elimu zaidi ya uiyo nayo mara kumi, anayezima mtandao ni mgombea yeye ndiye mwenye mamlaka ya kufanya hivyo si wmingine, na kwann azime siku ya uchaguzi na si siku zingine za kawaida tafsiri yake ni kwamba kuna kitu anataka afanye wakati huu wa kupiga kura.Kura hazipigiwi kwenye mtandao, wewe unaelimu gani?
Wakizima mtandao hakuna mahusiano na upigaji kura.
Ye ni mtu maalum?Kwanini hakuenda Zanzibar kupiga kura na watu maalum jana?
Kwa hiyo hujapiga Kura?Sio kweli acha upotoshaji usio na tija. Mfumo wa alphabetical order wa vyama ndio standard. Mbona kwa wabunge na madiwani hatujaona huo uhuni wa kitoto? Mambo ya hivyo ndio yanachangia watu kupuuza huo utoto uitwao uchaguzi.
Mzee wetu pumzika kwa amani.tumepata mkombozi tayari.
Hiyo standard unatumia reference zipi?Kuna sheria inaonesha hivyo?Umeambiwa wameangalia wakwanza kurudisha form hadi wa mwisho kwanini nayo isiwe standard?Hata kwenye application nyingi utakuta wana namna yao ya kuchukua watu,Wa kwanza kuapply anakua wakwanza kuchukuliwa.
Mpiga zumari gani anaandika mada kama hizi?????Wewe si ni mpiga zumari wa CCM
Mwaka huu sijashiriki mambo ya siasa tangu Lowassa aliponiangusha akarudi CCM, jambo lililoniumiza zaidi ni kumuweka Lissu wa mwisho kwenye list.