storyteller
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 1,511
- 1,844
Tunashukuru zoezi zima leo limewadia mbali na mawaa yanayoendelea kila mmoja kati ya vyama maarufu CCM na CDM kila mmoja akivutia kwake kuwa ataibuka kidedea.
Lakini mimi kama mfuasi/ mpenzi wa sera ya UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU nimejikuta natumia gharama kidogo kuhakikisha kura yangu inakua kama tone moja kati ya mamilioni ya matone ya mvua yanaweza kuleta madhara.
Mimi imenigharimu shilingi elfu tano kutoka sehem nayoishi sasa hadi sehemu niliyojiandikishia.
Imani yangu LISSU ni raisi mtarajiwa wa awamu ya sita.
Embu na wewe uliechangia kura kwa lissu tiririka gharama ulizotumia kumpa kura.