INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
Jinsi chadema hamna siri kura ni siri yako. Sasa unatuonesha ili iweje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kwanza atakuwa wa mwisho...
Kwani Ni Mzazibari???Kwanini hakuenda Zanzibar kupiga kura na watu maalum jana?
Safi Sana.......!
Uumeamua kupotezaMimi na Queen sendiga tu
Nimetoka kupiga kura katika kituo kimoja hapa Dodoma(Kikuyu),kwa hakika muitikio uko chini mno.Hakuna watu kabisa!!
Too late,!!!Huu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm...
🤣🤣Njoo ukikalie bibie[emoji23][emoji23]
Wacha ang'atwe tu maana hizo pochi ni mali za mtu binafsi, anakagua kama nani??-
Mgombea ubunge Chadema Jimbo la Muheza @yosepherfkomba ameng'atwa na msimamizi mkuu wa kituo baada ya kutaka kufahamu kilichopo ndani ya mkoba huo, alipokataa kumonyesha akataka kutoka nje na huo mkoba, Yosepher akamzuia ndipo alipomjeruhi kwa meno..
SuseniHuu uchaguzi ni BATILI huyo anayejiita MWENDAWAZIMU akishirikiana na tumeccm na polisiccm...
Too late,!!!
Acha uoga bhana hakuna mtu wa kuingiza mamilioni ya makaratasi ya kura Tz nzima kwenye system.Leo nilipoingia kupiga kura nimekutana na makarani ambao walikuwa wakinakili namba za KITAMBULISHO CHANGU CHA MPIGA KURA kwenye Karatasi ya kupigia kura.
Hizi taarifa zikiingizwa kwenye system basi itakuwa ni shughuli nyepesi kujua mimi nimepigia kura chama gani.
Sasa endapo zitaanza itikadi mfano, kazi wapewe wa vyama fulani tu au mikopo wapewe watu fulani tu basi hii itachochea sana mpasuko mpya,