Mkuu watu wanapiga kura then wanaondoka kuendelea nashuhulizao nyingine.
Alafu kuna vizimba vya kutosha ukifika hushangai shangai, watu wana pigakura fasta kwasababu huduma ipo fasta pia kwa waelekezaji.
Nawapongeza tume kwa hili.
sawa lumumbaMagufuli mitano Tena [emoji106][emoji1241]
Nshapiga kibra msaliti na raia wa Brussels!View attachment 1614637
Watu 29m+ wapo nchi nzima na vituo vipo kwa maelfu.Mkuu narudia tena, unajua maana ya watu 29m+?
AminaAsante mkuu maisha yanaendelea tumtangulize Mungu mbele wakati tukisubiri matokeo
Japo matokeo kwa 100% yatakuwa feki mkuuAsante mkuu maisha yanaendelea tumtangulize Mungu mbele wakati tukisubiri matokeo
Daah! Eti nec ya ccmNEC ya CCM nimeanza kuipinga tokea mwaka 1995!
Wewe umeanza lini kunisoma humu mpaka ushangae kuona nimeandika hivyo?
Kwa hiyo hujapiga Kura?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we ms ng e umenichekesha sana aisee
Matokeo hayawezi kuwa feki mkuu kuwa naimani kiongozi.
Hakuna mwanaume wa hivyoila kuna watu mnajuaa kujichoshaa jaman[emoji23][emoji23]alafu ukute ni mwanaume na kengele zako mbili unaakaaa kabisa unaandikaa huu ujinga kma unamke si utumiee hata huo muda kumpapasa kuliko kuandikaa huu ujingaa jaman[emoji25][emoji25]
Inaamana ndo mmeshidwa kuizima JF embu tuambieni vizuri tuwasikie hapahapaView attachment 1614602
Mitano tena JPM
Haki huinua TaifaMatokeo hayawezi kuwa feki mkuu kuwa naimani kiongozi.
#Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar: Is there any water holding evidence on this pitfall allegations? What is well understood by a score of multitude who voluntarily turned up at the polling station is that the CDM MP contestant blatantly accused someone spotted carrying a bag suspected being stuffed with ballot papers and the law enforcement team was notified who timely responded to the call out. The matter handled by the relevant instrument therefore is vital are reserved with their responsibility to accomplish the probe rather than shouting rumors which are yet to be proven.Voting reports indicate widespread irregularities in the form of preventing our polling agents from accessing polling stations. Stuffed ballot boxes seized in Kawe, Dar. If this continues, mass democratic action will be the only option to protect the integrity of the election. Tundu Lissu.
Watu 29m+ wapo nchi nzima na vituo vipo kwa maelfu.
Wewe ulitaka uone watu wangapi kwenye kituo chako.
Ungekuwa na akili timamu usingemchagua huyu fedhuli atuongoze mamilioni ya Watanzania.View attachment 1614602
Mitano tena JPM
Ndio, haki huinua Taifa, nenda katumie hakiyako ya kupigakura alafu tuungane pamoja kusubiri matokeo mkuu.Haki huinua Taifa